Kuna jamaa alikuwa bado hakuwahi kusex hadi kufikia kuoa. Wakati arusi ikikaribia, ilibidi amtake ushauri baba yake ajue afanye nini na vipi.
Damu nzito, baba akamshauri mwanawe. "Sio kitu kikuuuubwa. Wewe mkifika 6x6 tafuta ile kitu ilipo, chomeka mche. Mimi nitakuwepo nje maeneo na ngoma ndogo ambayo nitakuwa ninaipiga taratibu wewe utacheza kufuatisha midundo yake".
Siku ilipofika, mtoto akafata ushauri, hakukawia kugundua ni wapi, akachomeka mche na kuanza kufuatisha midundo ya ngoma. Lakini shughuli ilipokolea midundo ya babake ikawa inaenda pole pole sana kulinganisha na kasi aliyokwisha kamata. Ikabidi amwambie baba yake BABA CHANGANYAAAAA!!!
humu si sehem ya utani!jamani hivi ile shughuli inahitaji mafunzo? Nani aliye wafunza kuku?
haaaaaahaaa ama baba changanyaaaaaa mpaka------------kielewekeeeeeKuna jamaa alikuwa bado hakuwahi kusex hadi kufikia kuoa. Wakati arusi ikikaribia, ilibidi amtake ushauri baba yake ajue afanye nini na vipi.
Damu nzito, baba akamshauri mwanawe. "Sio kitu kikuuuubwa. Wewe mkifika 6x6 tafuta ile kitu ilipo, chomeka mche. Mimi nitakuwepo nje maeneo na ngoma ndogo ambayo nitakuwa ninaipiga taratibu wewe utacheza kufuatisha midundo yake".
Siku ilipofika, mtoto akafata ushauri, hakukawia kugundua ni wapi, akachomeka mche na kuanza kufuatisha midundo ya ngoma. Lakini shughuli ilipokolea midundo ya babake ikawa inaenda pole pole sana kulinganisha na kasi aliyokwisha kamata. Ikabidi amwambie baba yake BABA CHANGANYAAAAA!!!
haaaaaahaaa ama baba changanyaaaaaa mpaka------------kielewekeeeeeKuna jamaa alikuwa bado hakuwahi kusex hadi kufikia kuoa. Wakati arusi ikikaribia, ilibidi amtake ushauri baba yake ajue afanye nini na vipi.<br>
Damu nzito, baba akamshauri mwanawe. "Sio kitu kikuuuubwa. Wewe mkifika 6x6 tafuta ile kitu ilipo, chomeka mche. Mimi nitakuwepo nje maeneo na ngoma ndogo ambayo nitakuwa ninaipiga taratibu wewe utacheza kufuatisha midundo yake".<br>
<br>
Siku ilipofika, mtoto akafata ushauri, hakukawia kugundua <em>ni wapi, </em>akachomeka mche na kuanza kufuatisha midundo ya ngoma. Lakini shughuli ilipokolea midundo ya babake ikawa inaenda pole pole sana kulinganisha na kasi aliyokwisha kamata. Ikabidi amwambie baba yake BABA CHANGANYAAAAA!!!
Kama ndio baba ningekuwa napiga ngoma uku nalìa, badae namwambia dogo zamu yako na wewe upige ngoma na mimi nijivue gamba