Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,079 Reaction score 468 Mar 7, 2015 #1 Fikiria una shilling laki moja na unatakiwa kumpa mzazi wako mmoja tu. Utampa nani Baba au Mama.
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,263 Mar 7, 2015 #2 Kig said: Fikiria una sh laki moja na unatakiwa kumpa mzazi wako mmoja tu. Utampa nani Baba au Mama? Click to expand... Nampa mama, nikimpa baba ataenda kuolewa mke wa pili.
Kig said: Fikiria una sh laki moja na unatakiwa kumpa mzazi wako mmoja tu. Utampa nani Baba au Mama? Click to expand... Nampa mama, nikimpa baba ataenda kuolewa mke wa pili.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Mar 7, 2015 #3 Mwenyeshida nayo...
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,997 Mar 7, 2015 #4 mwanga lutila said: Nampa mama, nikimpa baba ataenda kuolewa mke wa pili. Click to expand... Mambo ya kitoto hayo na wewe
mwanga lutila said: Nampa mama, nikimpa baba ataenda kuolewa mke wa pili. Click to expand... Mambo ya kitoto hayo na wewe
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,866 Mar 7, 2015 #5 Sawa...
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,263 Mar 7, 2015 #6 bushland said: Mambo ya kitoto hayo na wewe Click to expand... Utoto uko wapi? fafanua.
P PantaleoGregory58 Senior Member Joined Nov 2, 2014 Posts 107 Reaction score 25 Mar 7, 2015 #7 Naigawa Mara mbili wote nawapa elfu hamsini wazazi wote ni muhimu kwangu siwezi kubagua Mungu hapendi.
Naigawa Mara mbili wote nawapa elfu hamsini wazazi wote ni muhimu kwangu siwezi kubagua Mungu hapendi.
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,184 Reaction score 1,315 Mar 7, 2015 #8 bushland said: Mambo ya kitoto hayo na wewe Click to expand... ujinga kabisa maswali ya kuku na yai nani kaanza kuzaliwa
bushland said: Mambo ya kitoto hayo na wewe Click to expand... ujinga kabisa maswali ya kuku na yai nani kaanza kuzaliwa
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,450 Mar 7, 2015 #9 Nampa baba.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,713 Mar 7, 2015 #10 wote siwapi! natafutia biashara ikifika laki2 ndo nawagawia wote.