Baba Askofu Gwajima nina wasiwasi na wewe

I love the way things are taking a twist. Mada zinajadiliwa kutegemea political orientation ya anayejadiliwa. Siyo mitazamo huru tena. Kwa heri Home of Great Thinkers, kwa heri uhuru wa kufikiri.
 
Sadaka na kikumi pekee tu ni mitaji tosha....ana waumini 70.000 piga mara 1,000 ya sadaka kwa mwezi mara 2..its almost 140,000 ,000

Je ww kanisani ukienda huwa unatoa sadaka kiasi gani na kikumi sh ngapi?
 
Wasiwasi wangu unatokana na utajiri wako baba: Umenunua chopa, na sasa unataka kununua treni.

Baba hela ya kununua chopa na treni umeipata toka kwa waumini wako tu? Huuzi ngada?

Unataka kuniambia wewe ndiye mwenye waumini wengi sana kuliko Kadinali Pengo, Malasusa, Mwingira, Lwakatare, G. Davie, Mzee wa Upako, n.k?

Baba askofu, kweli sadaka ndiyo inakuwezesha kuwa unagharamia maafisa usalama wako, maafisa usalama wa Dr. Slaa kipindi kile mkiwa marafiki, kununua chopa na treni?

Serikali Ya Awamu Ya 5 Kwa Kujibana Sana, Ndo Imenunua Bomberdier 2. Mseveni Wa Uganda Nchi Yake Haina Ndege, Katumia Ndege Ya Kenya Kuja Tanzania Kufanya Ziara Ya Kiserikali. Sembuse Ww Gwajima??!!

Sadaka haitoshi baba askofu, na ndiyo maana hata jengo la kuabudia huna. Waamini wako wanapigwa jua, vumbi na mvua wakati wa ibada.

Baba nina wasi wasi na wewe kuwa huenda ni muuza ngada, ila hujagundulika tu.

Siku ukileta ushahidi wa vyeti vya D B uje pia na ushahidi kuwa sadaka yako inakupa kipato ulicho nacho.
Gwajima siyo mchungaji, bali anatumia Psychology of religious mobilisation with superstition clue techniques. It Includes use of:
1.Chuma ulete kupitia waumini hao hao tu.√
2.Ngada kwa wingiiii√
3.Freemanson club√
4.Umiliki wa chungu uvunguni chenye kutoa povu: ushirikina wa hali ya juu.√
 
Uchungaji ni zaidi ya waziri au rais au mfalme wa dunia hii....
Kwani Gwajima yupo kwenye orodha ya matajiri au ni mihemko tu....
Tumtumbue kwanza Mr ZERO aka vyeti FEKI
 
Mkuu;
Kama nia yako ni kumkomesha Gwajima asivianike vyeti vya Daudi Bashite, njoo tena kivingine. Hapa hapa kwenye jamvi Gwajima aliuanika utajiri wake.
Pili; Ka weye waamini kuwa Gwajima ni mpuuuzii kiasi hicho, kipindi hiki ambacho kila mtu mwenye roho mbaya alitamani ammalize kiuchumi na kiroho, halafu ajitape kihivyo kwa kuuonesha ukwasi wake. Basi wewe ndo hamnazo kabisa.
Mwache mtu wa Mungu ajiliiye ya matawi ya juu. Kama Muumba kamchunuku, usililie vya mwenzako. Jitahidi kumsaidia Daudi angalao aoneshe cheti cha kubatizwa kwani RC(katoliki) hutoa vyeti hivyo hata kama hukupewa siku ile, nenda tu ulikobatiziwa ndg yangu Daudi. Baba Paroko atakupa. Acha kupinga madai kwa tuhuma feki kwa Gwaji
 
Kuna watu mna roho ngumu, yaani kwenye upambe mmepitiliza, wanazi au tuseme wafia gumbo, yaani pamoja na yote hayo bado tu mnatumwa na Bashite!!
 
Wasiwasi wangu unatokana na utajiri wako baba: Umenunua chopa, na sasa unataka kununua treni.

Baba hela ya kununua chopa na treni umeipata toka kwa waumini wako tu? Huuzi ngada?

Unataka kuniambia wewe ndiye mwenye waumini wengi sana kuliko Kadinali Pengo, Malasusa, Mwingira, Lwakatare, G. Davie, Mzee wa Upako, n.k?

Baba askofu, kweli sadaka ndiyo inakuwezesha kuwa unagharamia maafisa usalama wako, maafisa usalama wa Dr. Slaa kipindi kile mkiwa marafiki, kununua chopa na treni?

Serikali Ya Awamu Ya 5 Kwa Kujibana Sana, Ndo Imenunua Bomberdier 2. Mseveni Wa Uganda Nchi Yake Haina Ndege, Katumia Ndege Ya Kenya Kuja Tanzania Kufanya Ziara Ya Kiserikali. Sembuse Ww Gwajima??!!

Sadaka haitoshi baba askofu, na ndiyo maana hata jengo la kuabudia huna. Waamini wako wanapigwa jua, vumbi na mvua wakati wa ibada.

Baba nina wasi wasi na wewe kuwa huenda ni muuza ngada, ila hujagundulika tu.

Siku ukileta ushahidi wa vyeti vya D B uje pia na ushahidi kuwa sadaka yako inakupa kipato ulicho nacho.

Gwajim ni muuza unga, anajulikana. Serikali ikiwa serious inaweza kumshika huyu dogo mara moja. Makala na vitabu anavyodai kuuza havilingani na utajiri wake hata kidogo....kuna uwalakini hapa kwani haviingii kichwani hata iweje. Gwajima ni msanii tu na anatumia nguvu za giza kuwarubuni misukule yake ndiyo maana wanaamini kila akisemacho hata kama ni cha kijinga wao wako tayari kulia na kupiga kelele juu yake.
 
Mnao mtetea Gwajima Kwamba Eti Ana Waumini 70,000 Mnatudanganya. Idadi Ya Waumini Wa Gwajima Hawazidi 7,000 Nchi Nzima
 
Gwajim ni muuza unga, anajulikana. Serikali ikiwa serious inaweza kumshika huyu dogo mara moja. Makala na vitabu anavyodai kuuza havilingani na utajiri wake hata kidogo....kuna uwalakini hapa kwani haviingii kichwani hata iweje. Gwajima ni msanii tu na anatumia nguvu za giza kuwarubuni misukule yake ndiyo maana wanaamini kila akisemacho hata kama ni cha kijinga wao wako tayari kulia na kupiga kelele juu yake.
Kwa hiyo unaiambia serikali haijakuwa serious kufanya kazi yake juu ya shutma za Gwajima kuhusika na biashara ya mihadarati? Acha maneno yako ya kihemko we kijana. Serikali iko makini jinsi usivyoweza kujua.
 
Sasa mbona anawaweka waumini wake juani badala ya kuwajengea nyumba na kiyoyozi?
 
Wasiwasi wangu unatokana na utajiri wako baba: Umenunua chopa, na sasa unataka kununua treni.

Baba hela ya kununua chopa na treni umeipata toka kwa waumini wako tu? Huuzi ngada?

Unataka kuniambia wewe ndiye mwenye waumini wengi sana kuliko Kadinali Pengo, Malasusa, Mwingira, Lwakatare, G. Davie, Mzee wa Upako, n.k?

Baba askofu, kweli sadaka ndiyo inakuwezesha kuwa unagharamia maafisa usalama wako, maafisa usalama wa Dr. Slaa kipindi kile mkiwa marafiki, kununua chopa na treni?

Serikali Ya Awamu Ya 5 Kwa Kujibana Sana, Ndo Imenunua Bomberdier 2. Mseveni Wa Uganda Nchi Yake Haina Ndege, Katumia Ndege Ya Kenya Kuja Tanzania Kufanya Ziara Ya Kiserikali. Sembuse Ww Gwajima??!!

Sadaka haitoshi baba askofu, na ndiyo maana hata jengo la kuabudia huna. Waamini wako wanapigwa jua, vumbi na mvua wakati wa ibada.

Baba nina wasi wasi na wewe kuwa huenda ni muuza ngada, ila hujagundulika tu.

Siku ukileta ushahidi wa vyeti vya D B uje pia na ushahidi kuwa sadaka yako inakupa kipato ulicho nacho.
Uko sahihi sana mkuu. Gwajima ni mhuni na hana hata vinasaba vya uaskofu. Nasikitika hata serikali kwa nini hawafungii hawa watu. Ni mataoeli na wauza unga wakubwa. Gwajima hatakiwi kuwa uraiani huyu Mrundi. Gwajima anawadanganya watu ni msukuma but not true. Ni wakimbizi haramu wa toka Burundi wakaishi usukumani na kujipa majina ya kisukuma. Serikali ichunguze uraia wake. Ana Dada yake ni Dr. Wa PHD but ni mstaarabu sana.
 
Mbona ameweka wazi jamani utajiri wake tatizo la watu wana mihemko sana yaani. Tafuta clip zake zipo U tube ameanika kila kitu.. Mimi kwa sasa nina imani nae kwasababu kama angekuwa na ajenda mbaya au angekuwa anauza huo unga asingekuwa na ujasiri wa kuwafyatua wakuu namna hii..ila ninachooba kwa sasa wauza unga ndio wapo kimyaaa nahisi hata nchi wamekimbia
Huo ni uongo. Kina kakobe waliomtangulia wangekuwa mamilionea mpaka sasa. Wako wapi?
 
Akina Pengo Wako Nchi Nzima, Na Wana Miradi Kibao Mf Mashule, Mahospitali, N.k. Lkn Hwana Huo Utajiri Wa Kufuru. Why?
 
awe amapeta kihalali au sivyo halali lakini si vizuri kuona waumini wakoo wana teseka njaa we kiongozi unajilinbikizia malii yani mpakaa ata kutumia zote unashindwa unakufa unaziacha ..ndomaana sisi marasta tuna amini katika upendo na kujitolea ,malizi kumiliki sawa lakini kuwanazo ivo mpaka kufuru afu we ni mtumishi wa Mungu haipendezi...
 
Kwa hiyo unaiambia serikali haijakuwa serious kufanya kazi yake juu ya shutma za Gwajima kuhusika na biashara ya mihadarati? Acha maneno yako ya kihemko we kijana. Serikali iko makini jinsi usivyoweza kujua.

Serikali haiko serious na Gwajima tena kwa uhakika tu......mbona huyu mtu anakamatwa jamani kwani hana ujanja.
 
Alisema bei ya chopa na pesa ya chopa aliipataje, hammer, magorofa na majumba ya kifahari wanayosema kuwa anayo, Costa kibao
Wanasema akina nani!? Kwama hauna uhakika na swali lako usiulize mkuu
 
Tafuta clips zake keshaelezea,Hata wwe ukiitumia vzr akili yako unaweza mzidi hata trump Kwa utajiri ni suala La kuwekeza kwenye brain tu
 
Back
Top Bottom