Wasiwasi wangu unatokana na utajiri wako baba: Umenunua chopa, na sasa unataka kununua treni.
Baba hela ya kununua chopa na treni umeipata toka kwa waumini wako tu? Huuzi ngada?
Unataka kuniambia wewe ndiye mwenye waumini wengi sana kuliko Kadinali Pengo, Malasusa, Mwingira, Lwakatare, G. Davie, Mzee wa Upako, n.k?
Baba askofu, kweli sadaka ndiyo inakuwezesha kuwa unagharamia maafisa usalama wako, maafisa usalama wa Dr. Slaa kipindi kile mkiwa marafiki, kununua chopa na treni?
Serikali Ya Awamu Ya 5 Kwa Kujibana Sana, Ndo Imenunua Bomberdier 2. Mseveni Wa Uganda Nchi Yake Haina Ndege, Katumia Ndege Ya Kenya Kuja Tanzania Kufanya Ziara Ya Kiserikali. Sembuse Ww Gwajima??!!
Sadaka haitoshi baba askofu, na ndiyo maana hata jengo la kuabudia huna. Waamini wako wanapigwa jua, vumbi na mvua wakati wa ibada.
Baba nina wasi wasi na wewe kuwa huenda ni muuza ngada, ila hujagundulika tu.
Siku ukileta ushahidi wa vyeti vya D B uje pia na ushahidi kuwa sadaka yako inakupa kipato ulicho nacho.