Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,715
Tufowadie hizo meseji na sisi tuone....
wakati anaanza kumtaka kimapenzi ilikuwa mwaka jana mwezi wa tisa ,lkn baada ya hapo ilnibidi nimwambie amweleze mama yake ,na hata alpo fanya hivyo walkaa na wakaongea lakn jambo la ajabu haukupita muda mrefu akawa ameanza tena vitendo kama hivyo lakni baada ya hapo mpenzi wangu alkuwa haniambii lakini nilpo kutana na mpenz wangu kuangalia simu yake nazkuta meseji za kutoka kwa baba yake nikamwuliza kwann huwa huniambii akanijbu anaogopa mm ntamwacha jambo ambalo nmefkia mm nmeona bora nimwache kwan naogopa kama ntakuwa nagombanisha familia yao
Soma kwa umakini utaonaumetumia vigezo gani, msiwe discouragers
Kuliko kuanzissha mada za uongo..bora usome za wengine tu