Baba amenishangaza

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
"Mwanangu ukitaka kufurahia maisha ya ndoa, katu usiwe na mke mmoja tu".

Kisha akendelea , mke mmoja atapambana na wewe kila siku ila ukiwa na wawili watapigania wao kwa ajili yako kila siku.

Kwa kufanya hivyo , maisha yako yatakua rahisi Kama refa uwanjani.


Wakuu ebu naombeni uzoefu kwenye ili.
 
Fanyia kazi mawazo ya baba yako
 
Mkuu uzoefu ungeupata kwanza kutoka kwa huyo baba konk
Mzee kiasi huwa namuona Yuko relaxed.

Yeye rasmi ana mke mmoja ila the way maisha yake yalivyo inaonyesha Kuna mahala zaidi anakopata tulizo la Moyo.
 
Sio kila mzee ana busara, kumbuka wavulana wapumbavu nao huzeeka
Mkuu...ndo kusema kuwa na wake wawili unakosa busara...?

Mbona akina Shekhe Jabir wanna wake wanne?
 
kuna wanawake wengine wanaelewana.
 
Msikilize baba yako ili siku ukiharibikiwa umlaumu yeye na utakapoona mambo ni mazuri umpe shukurani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…