MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Mkazi wa Temeke Wailes Khamis Sakaya anadaiwa kumbaka mwanaye (jina linahifadhiwa) na kumpa ujauzito hali iliyopeleka binti huyo kuacha shule kwa
ujauzito aliopata.
Sakata anadaiwa kumbaka binti huyo mwenye umri wa miaka 18 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Al Amin iliyoko mkabala uwanja wa Taifa.
Chanzo: EATV
ujauzito aliopata.
Sakata anadaiwa kumbaka binti huyo mwenye umri wa miaka 18 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Al Amin iliyoko mkabala uwanja wa Taifa.
Chanzo: EATV