Baba alinikataa sasa naishi kwa huzuni

Baba alinikataa sasa naishi kwa huzuni

Polee sana mkuu uza simu iyo upate mtaji then mtaji ukikua utanunua simu ingine unarudi tena humu tunaendelea kubadilishana mawazo
 
Pole..jambo la wanaume kukataa mimba na watoto limezidi kwa sasa...maisha ya dada zetu wengi yanatupa mashaka kukubali hizo mimba..utakuta mwanamke ulishamfuma na sms za mapenzi si chini ya mwanaume mmoja,mara leo yuko kwa flan..mara kwako.Hata kama mimba ni yako kweli kwa style hio lazima ukatae..usimlaumu sana baba ako huwez juwa waliishi vipi na mama yako kwenye mahusiano yao....kaza we mwanaume,komaa mungu atakusaidia
 
Mkuu mafanikio hayako mbali sana hasira hizo zielekezee kwenye maendeleo kuna siku atarudi na atataka akutambue kama mwanae........

Mungu akupe moyo wa uvumilivu ulivuke hilo jaribu
 
One of the kind! God bless you with more Pilot.

Mkuu nitumie number yako ya Voda nikutumie hata laki moja ya soda wewe na mama . Number na jina lako kamili unalotumia kwenye Voda .

Poleni Sana mkuu. Ipo siku utashinda haya matatizo ni mapito tu.
 
JF naiheshimu. Humu wote ni ndugu. Mola azidi kubariki.
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu

WEWE KIJANA ACHA UJINGA SAWA, NANI KAKWAMBIA KUWA NA ELIMU AU KUKUBALIWA NA BABA YAKO KUTABADILI AU KUFANIKIWA MAISHA YAKO??

MAISHA YANATAKA MAARIFA, NA MAARIFA NI JUHUDI YAKO PEKE, SIYO BABA YAKO WALA MAMA YAKO WANAWEZA KUKUSAIDIA.

UMELELEWA MPAKA KUFIKA UMRI ULIKUWA NAO JARIBU KUWA NA NUSHUKURANI KWA WALIOKULEA NA MUNGU WAKO.

KUNA WATU HAWAJASOMA, HAWANA MIKONO WALA MIGUU NA WANAISHI MAISHA BILA KUTAFUTA HURUMA YA JAMII

KUJA KULIA HAPA HAKUTA KUSAIDI CHOCHOTE KATIKA KUBADILISHA MAISHA YAKO SASA WATU WAKISHA KWAMBIA POLE NDIYO ITASAIDIA NINI KATIKA KUBADILI MAISHA YAKO?

JIAMINI, JIKUBALI, KUWA NA SHUKRANI NA MSHUKURU MUNGU KWA UMRI ULIONAO, UNA MIKONO MIWILI, MIGUU MIWILI NA AKILI TIMAMU.

KAFANYE KAZI UPATE PESA, THIBITI MATUMIZI YAKO, JIWEKEE AKIBA NA KUZA MALENGO YAKO UTAFANIKIWA ACHA MAMBO YA KIPUMBAVU KULIA-LIA NA KUTAFUTA HURUMA YA JAMII.

TUMIA NAFASI YAKO VIZURI NA ACHANA NA UTOTO AU UJINGA HUU ULIONAO UTAFANIKIWA.

HARMONIZE KAUZA MAJI, KABEBA ZEGE LEO YUKO WAPI WALA HAKUWAHI KUJA HAPA KULIA-LIA KAMA WEWE, DIAMOND KAKIMBIWA NA BABA YAKE KAUZA MITUMBA, KAOSHA VYOMBO KWA BABU JUNIOR LEO YUKO WAPI?

NENDA KAYABADILI MACHUNGU YAKO ILI YAWE CHACHU KATIKA MAISHA YAKO NA FAMILIA YAKO UWE BALOZI MZURI KWA KULEA WATOTO WAKO BILA KUWAKAKIMBIA

SISEMI HIVYO ILI NA WEWE UWE MWIMBAJI UNAWEZA UKAWA HUNA SAUTI ILA UKAWA NA UWEZO WA KUANDIKA NYIMBO UKAUZA, UNAWEZA KUWA MJENZI, FUNDI SEREMALA, FUNDI MWASHI, FUNDI UMEME, FUNDI MAGARI NA MENGINEYO MENGI KUWA NA MTAZAMO HURU WA MAISHA YAKO KIJANA

Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.

Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya maisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.

Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.

Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.

Naomba na mm hela tafadhali
Nina shida kuliko huyu
Pls tena pls
Elfu 10 utafanya siku yangu iwe nzuri,ninunue magimbi nifanye kitoweo na wanangu
 
WEWE KIJANA ACHA UJINGA SAWA, NANI KAKWAMBIA KUWA NA ELIMU AU KUKUBALIWA NA BABA YAKO KUTABADILI AU KUFANIKIWA MAISHA YAKO??

MAISHA YANATAKA MAARIFA, NA MAARIFA NI JUHUDI YAKO PEKE, SIYO BABA YAKO WALA MAMA YAKO WANAWEZA KUKUSAIDIA.

UMELELEWA MPAKA KUFIKA UMRI ULIKUWA NAO JARIBU KUWA NA NUSHUKURANI KWA WALIOKULEA NA MUNGU WAKO.

KUNA WATU HAWAJASOMA, HAWANA MIKONO WALA MIGUU NA WANAISHI MAISHA BILA KUTAFUTA HURUMA YA JAMII

KUJA KULIA HAPA HAKUTA KUSAIDI CHOCHOTE KATIKA KUBADILISHA MAISHA YAKO SASA WATU WAKISHA KWAMBIA POLE NDIYO ITASAIDIA NINI KATIKA KUBADILI MAISHA YAKO?

JIAMINI, JIKUBALI, KUWA NA SHUKRANI NA MSHUKURU MUNGU KWA UMRI ULIONAO, UNA MIKONO MIWILI, MIGUU MIWILI NA AKILI TIMAMU.

KAFANYE KAZI UPATE PESA, THIBITI MATUMIZI YAKO, JIWEKEE AKIBA NA KUZA MALENGO YAKO UTAFANIKIWA ACHA MAMBO YA KIPUMBAVU KULIA-LIA NA KUTAFUTA HURUMA YA JAMII.

TUMIA NAFASI YAKO VIZURI NA ACHANA NA UTOTO AU UJINGA HUU ULIONAO UTAFANIKIWA.

HARMONIZE KAUZA MAJI, KABEBA ZEGE LEO YUKO WAPI WALA HAKUWAHI KUJA HAPA KULIA-LIA KAMA WEWE, DIAMOND KAKIMBIWA NA BABA YAKE KAUZA MITUMBA, KAOSHA VYOMBO KWA BABU JUNIOR LEO YUKO WAPI?

NENDA KAYABADILI MACHUNGU YAKO ILI YAWE CHACHU KATIKA MAISHA YAKO NA FAMILIA YAKO UWE BALOZI MZURI KWA KULEA WATOTO WAKO BILA KUWAKAKIMBIA

SISEMI HIVYO ILI NA WEWE UWE MWIMBAJI UNAWEZA UKAWA HUNA SAUTI ILA UKAWA NA UWEZO WA KUANDIKA NYIMBO UKAUZA, UNAWEZA KUWA MJENZI, FUNDI SEREMALA, FUNDI MWASHI, FUNDI UMEME, FUNDI MAGARI NA MENGINEYO MENGI KUWA NA MTAZAMO HURU WA MAISHA YAKO KIJANA

Mkuu kijana asaidiwe tuache porojo!
afrodenzi kaonyesha mfano wa kumsaidia,msaidie au ukishindwa piga kimywa
 
DO YOU BUY IT MKUU!!! ATAENDA WAPI KWANI ALITOKEA WAPI??

MSILEE UJINGA KWANI KUBEBA ZEGE KUNAHITAJI KUSOMA?? KUFANYA KAZI ZA KUKATA NYASI KUNAHITAJI KUSOMA?? KUNA KAZI NYINGI MTAJI NI NIA NA NGUVU YAKO HAZIITAJI KUWA NA PESA?? AENDE AKAFANYE KAZI ACHENI UJINGA MNALEA UVIVU.

'ADVERSITY INTRODUCES A MAN TO HIMSELF' KAMA HAJAFIKA HIYO STAGE HANA SHIDA HUYO NI MVIVU NA TAIFA HILI HATAKI WATU WAVIVU OMBAOMBA
 
Asante sanaa mama yangu
Nakushukur sanaa hakika nimeiyona. sinachakukulipa lkn mungu tu atakulipa nakuombea afya baraka namaisha marefu hakika ubarikiwe sanaa mama yangu asante sanaaa
Hongera. Lakini hiyo cm unayoitumia si ya bei ndogo hivyo. Ni smart.

Hongera kwa kukutana mkono wa Mungu.
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
Bwana Mdogo pole kwa hali uliyopo ila tambua ww si mtoto wa kwanza dunian kukimbiwa ama kukataliwa na baba tena shukuru kwa mama kuendelea kuwa hai japo umesema ni mgonjwa kuna wenzako ni yatima na hawana ndugu yeyote wamelelewa na watu baki na kunyanyasika sana lakini walijipa moyo, NAAMIN MUNGU NI MWEMA hivyo siku zote jitume fanya kazi kwa bidii, usichague kazi maadam iwe halali. Japo kuna wadau wamejitokeza kukupa msaada Mungu awabariki ila tumia fedha ulizopatiwa kufungua biashara ndogo baada ya muda mambo yatakuwa sawa na tunategemea uje uleta mrejesho umefikia hatua gan ili kuwatia moyo pia waliotoa msaada sio urudi kulialia tena.
 
Bro
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
broda mi nimezaliwa Kama wewe tofauti yetu na mi na wewe kutokuona hilo tatizo Kama changamoto mbele yako na uanze kuzifanyia kaz. Mi niliishia la Saba na niliondoka home ckumuaga mtu na nilikokuwa naenda nilikuwa napasikia japo ckuwa nimefika na nilikuwa na umri wa miaka 15 kumbuka nyuma yangu nina wadogo zangu 6 nilikuja kurud nimewasomesha wote levo ya master kila mtu anashughul yake na maisha yake yupo Mama na kwetu so mtaji wa kwanza kwako ni Mungu wa pili ni afya na dhamira yako Kuendelea ni lazima ukiamua wewe. Ni Kama kwenda mbingun tu maamuz yote yapo juu yako.
 
Dah. This boy is so broken you can actually feel his despair. Maskini.

Eeh Mungu mfungulie njia na umfute machozi yake na huzuni yake.
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
Pole sana ndugu, wengi wanapitia magumu kuliko hata ww, dunia ina changamoto nyingi sana, hyo aliejitolea kukusaidia hata kama anakusimanga vp, we vumilia na muheshimu huku ukijua upo hapo kwa mda tuu ukijipanga kujitegemea, ni watu wachache sana wenye mioyo ya kusaidia so mshukuru sana na endelea kuvumilia kwani mungu ana mipango mikubwa sana na maisha yko. Kikubwa zaidi jitahidi kujituma kwa bidii.
 
Mkuu nitumie number yako ya Voda nikutumie hata laki moja ya soda wewe na mama . Number na jina lako kamili unalotumia kwenye Voda .

Poleni Sana mkuu. Ipo siku utashinda haya matatizo ni mapito tu.
Kumbe watu wenye roho hizi bado wapo!!!!! Ubarikiwe sana kwa kumsaidia hyu kijana, hakika mungu atakuzidishia ulipopunguza kwaajili ya kesho ya muhitaji.
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
KWA UMRI ULIOUTAJA HAPO SIO WAKUMLILIA BABA YAKO TENA, HATA AKIKUKUBALI KWA UMRI WAKO JE UNGETAKA AFANYAJE SASA? BADALA YA KULIALIA ILITAKIWA UCHUKULIE HALI HIYO KWA KUJITUMA KWA KASI ILI UFANIKIWE, KAZI ZIPO NYINGI TU KWA UMRI WAKO WA MIAKA 20 UNGEZA BIDII KWENYE KILA JAMBO UNALOLIFANYA UTAFANIKIWA.
 
Usijali kijana umri wako bado ni mdogo mno hivyo unapaswa kijikaza kiume, kujituma na kuingalia familia yako,
Usitegemee cha mtu pambana mwenyewe hakika mwenyezi mungu atakujalia,

Niliwahi kuishi na tatizo kama lako nikiwa na umri wa miaka 17, lakini nilipambana hatiamaye ILLUMINATI ikawa kimbilio langu na msaada wangu na sasa nafarijika na kuwa na furaha muda wote baada ya kuyaona mafanikio.
Mkuu....
Karibu ILLUMINATI the baphomet.
Naamini tatizo lako litaisha.
 
Illuminati ni wapi huko na Mimi nataka kwenda huko
 
Back
Top Bottom