Baba alinikataa sasa naishi kwa huzuni

Huu si wakati wa kuhuzunika tena ni Kama upo katikati ya kundi la simba unatakiwa kujiokoa. Usumizwe na manyanyaso unayoyapata wala kuwaza Kwanini baba amekukataa. Jitume kufanya kazi yeyote ile uweze kujipatia kipato hata kama ni kubeba zege au mizigo stendi. Usichague kazi utafanikiwa mpaka utashangaa. The rest is history
 
True bro I respect your thoughts
 
Hapa ndio mahala sahihi pakutoa sadaka na sio huko mwingine,jamaa anashida anahitaji sana msaada kwa watu kwenye uwezo plz mwenyenacho amjaalie huyu kijana,nadhani pesa sio muhimu sana kama vile angepata kazi labda ingemsaidia ktk maisha yake na nduguze
 
Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.

Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.

Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.

Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.
Yaani afrodenzi umeamua kunitapeli leo hii? Yaani unaungana kabisa na Chibudee ili mtuingize mkenge sisi? Haya bwana!
 
Ndugu usizungumze jambo ambalo hulijui na jaribu kuwa na khofu ya mungu haileti maaana kutuma pc ya pesa alizo tuma humu kwasa babu kafanya kwa roho yake kwa wenzake huna sababu yakutapeliwa ila nazibitisha sister kanitumia laki moja na 31
 
Huo muda wa kumuwaza baba yako hebu utumie fight....

Jiunge na vijana ysichague kazi iwe kukima twende...iwe kubeba zege twende.... ukipata kimtaji fungua hata genge....

Huyo baba aliyekukataa ipo siku atakuheshimu.... (mradi huamkosea)...
 
Pole sana jamani, hizo ndo changamoto za maisha usikate tamaa pambana na Mungu atakufungulia mlango wa mafanikio
 
Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.

Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.

Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.

Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA JAMBO ULILOFANYA KWA HUYO KIJANA... YEYE HUBARIKI KIZAZI CHA KWA KWANZA HADI CHA NNE... ILA MUNGU ANAUONA MOYO WANGU JINSI UNAVYOTAMANI AKUBARIKI HADI KIZAZI CHA NANE... NAFARIJIKA KUONA WATU KAMA WEWE BADO WAPO KWENYE DUNIA HII ISIYO NA HAKI... HAKIKA MUNGU ATEMBEE NAWE MILELE IKIBIDI AKUANDALIE MAKAZI YAKO NA YA KIZAZI CHAKO HUKO MBINGUNI.
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
Hakuna jambo linalodumu milele...

Vumilia husiweke mawazo yako upande wa matatizo asilimia mia moja fungua mawazo yako fanya kazi siku zitaenda hii itapita pia hakuna lilo na mwanzo bila kukosa mwisho kuwa mvumilivu
 
Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.

Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.

Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.

Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.
Brilliant
 
Hapa ndio mahala sahihi pakutoa sadaka na sio huko mwingine,jamaa anashida anahitaji sana msaada kwa watu kwenye uwezo plz mwenyenacho amjaalie huyu kijana,nadhani pesa sio muhimu sana kama vile angepata kazi labda ingemsaidia ktk maisha yake na nduguze
Valontarily Chief....

Ukianza kuipigia campaign....

Itaanza kuwa na sura ingine...

kila mtu atatoa kwa utashi wake na uwezo wake...

No offenses
 
Nimekaa hapa na familia yangu.
Nikaingia JF na kukutana na hii thread
Umenihuzunisha mno.

Kaza mwendo mkuu. Ipo siku utaona raha ya msisha. Kaa ukijua hauko peke yako nakutakia mwaka mwema kabisa wewe na mama yako. Mungu awatangulie.

Ps. Mimi ni mwanamke na Si Mr.

Ukipokea tu nijulishe mkuu.
Happy New Years.

Mungu akuzidishie pale ulipo patoa ubarikiwe sana unaonekana we mtu wa dini sana mkuu
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
Pole sana jitahid kumnyenyekea wakat unangalia kaz zakujikisha kama kuuza duka, tumia muda huu kutafuta chochote chakujishikisha ata kama kubeba zege, yan haya ni Mapito tu utashinda
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na babu na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa mama yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu/ Napenda kuwashukur wa Tanzania walio guswa kwa tatizo langu Nakunishauri kwa namna moja au nyingine Hakika Nimefarijika sanaa Nakuona kuwa kunawatu wenye roho za utu na busara ndani yao Pia naomba kumshukur sister au mama mpendwa alie jitolea kwahiyari kiasi chapesa ambacho kimeweza kunivusha kwa kiasi Fulani mungu akubariki sanaaa Enyi wa Tanzania naimani tupo watu tofauti Kijinsia kiumri na kiuwezo pia ombi langu kwenu kwa yoyote atakae guswa nakuweza kunisaidia kupata kazi au chochote kitakacho niingizia kipato hakika irakuwa faraja kubwa kwangu na familiar yangu kwani nitaweza kuimudu na hata kutimiza malengo yangu kielimu mungu wambinguni awabariki sanaa happy new year
 
huo huzuni achana nao...kashakukataa ishatokea... We shukuru umezaliwa... Hesabu baraka zako... Ongeza juhudi.... Mambo yatanyooka.,,
iko kinyongo na huzuni inakuzibia mengi....
 
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana mwenye 20 yrs old mkazi wa arusha ila sasa niko dar es salaam kutafuta ridhki Nimelelewa na baby na bb yangu baada ya ma'ma yangu kuzaa na mwanaume ambae ni baba yangu alie nikataaa toka tumboni mwa mama yangu had umri hu nilio nao sijawah ona hata tabasam. La baba yangu families yaupande wa babu yangu imenilea mpaka nafika secondary lkn kwa bahati mbaya babu wangu ifariki nakukosa wakunisomesh nimezunguka sanaa kumtafuta babaangu lkn amekuwa akinihadaa nakuniona kam sio mwanae mama yangu kwa sasa anaishi na HIV kwaiyo mm ndie baba na mama ktk families yangu naukitizama elimu sina ajira ningum nimebaki kutanga tanga tu kwabahati nilipata mtu alie nisaidia na kukubali kuishi na mm lkn kawa mtu wakunisimanga hata bila kosa nakufikia maali yakunitishia kunifukuza kwake nawaza je nitaenda wap nitayaendeshaje maisha yangu?? Naumri wangu huu bila elimu nauliza snaa nakutafakari nilipi kosa langu kwa baba yangu
Hali uliyonayo inaitwa ukiwa pitia ukurasa wa facebook wa Mwakasege ameongelea Hilo na namna ya kuondokana nao
 
Back
Top Bottom