MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Nadhani ulichochangia hakina uhusiano na mada yangu! Hata hivyo neno mshamba ni dhana tu kulingana na udogo au ukubwa wa fikra zako!Kwa sababu rais aliyeko siyo mshamba
Nadhani hujui maana ya siri! Yaani hata kanisani/msikitini kuna siri halafu unategemea ofisi kuu ya Rais isiwe na siri bali iwe wazi! Hiyo itakuwa ni nchi ya kufikirika!Siri za nn tena wakati jumba jeupe liko wazi??
Hoja yako ni fikirishi na nzito!Watakoma, mchawi akila nyama ya mtoto wa jilani ukampa na pili pili, usijetoa mlio siku anatafuna wa kwako.
Kuna kanuni moja kwenye haya mambo inasema, hakuna adui mbaya kama uliyeshirikiana naye kufanya uovu.
Hata mechi ya simba na yanga kuahirishwa nayeye hakujua piaItakuwa hamna siri kwa Sasa ambazo zinaumuhimu wa kuwainform wananchi
Figure out with naked eye!All in all, who is s/he?
Muda umethibitisha na unaendelea kuthibitisha!Muda utathibitisha
Aaaah we.Huwezi kuja na theory moja tu bila kufikilia theory nyingine unapozungumzia Jambo flan, au unapotaka tatua Jambo flan
Wenda pia bwana yule kaombwa ushirikiano baada ya kuona hawezekaniki, kutokana na uwezo wake mkubwa, chin ya jua Kuna Mambo mengi, BWANA yule mtandao wake Sio wa dunia hii,ila pia kipaji na uwezo wake binafsi ukiangalia sio wa kawaida
Mkuu;Mkuu, Magu hayupo tena.
Kama mrija wako umekatwa, jifunze kula kwa jasho kama wengine..
Nadhani hujui maana ya siri za nchi!Itakuwa hamna siri kwa Sasa ambazo zinaumuhimu wa kuwainform wananchi