Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
ngoja waje kujifariji uwaone.
wako wengi sana humu ndio maana hata busara za ndoa hakuna siku hizi.
jukwaa limevamiwa wakongwe wamejitoa, ukileta shauri la ndoa suluhisho unalopewa ni kuvunja ndoa ili wawe wengi.
nawamiss wakongwe wa jf walinifanya niitamani ndoa nikisoma ushauri wao. cc gfsonwin Paloma Nivea Nyamayao na wengineo
Nimekumiss pia, ni majukumu tu yanabana, ukweli ni kwamba hakuna kosa kubwa kama msichana kuchezea usichana wako na mume wa mtu, yaani anakulostisha, anakupotezea ramani ukijakushtuka unagonga 30 na hakieleweki, yaani nikionaga mrembo anahangaika na waume za watu huwa namshusha dhamani sana, ni bora uruke na vijana wenzio ule ujana utakavyo kuliko kubanana na waume za watu, wanawapotezea muda sana tena sana.