Baadhi ya wasichana hawaolewi sababu ya kutembea na waume wa watu

ngoja waje kujifariji uwaone.
wako wengi sana humu ndio maana hata busara za ndoa hakuna siku hizi.
jukwaa limevamiwa wakongwe wamejitoa, ukileta shauri la ndoa suluhisho unalopewa ni kuvunja ndoa ili wawe wengi.
nawamiss wakongwe wa jf walinifanya niitamani ndoa nikisoma ushauri wao. cc gfsonwin Paloma Nivea Nyamayao na wengineo

Nimekumiss pia, ni majukumu tu yanabana, ukweli ni kwamba hakuna kosa kubwa kama msichana kuchezea usichana wako na mume wa mtu, yaani anakulostisha, anakupotezea ramani ukijakushtuka unagonga 30 na hakieleweki, yaani nikionaga mrembo anahangaika na waume za watu huwa namshusha dhamani sana, ni bora uruke na vijana wenzio ule ujana utakavyo kuliko kubanana na waume za watu, wanawapotezea muda sana tena sana.
 
Kuna wanawake wanapendeza kuwa michepuko..ndoa sio kwa ajili yao..wanaenjoy sana wakiwa wanaiba kuliko wakiwa na wa kwao

Tuache kujifariji, sio lazima kila mwanamke lazima aolewe lakini asilimia kubwa ya wanawake wanatamani ndoa, ndoa nayo ina raha yake jamani, tena sana tu
 
aisee, kumbe kutokuolewa ni laana?

Sio laana ila kile kitendo cha kuwa na mme wa mtu unakuwa kama umejilaani. kumbumbuka Biblia inasema usitamani mke wa jirani ikimaanisha na msichana/ mwanamke usitamani mme wa watu.
 
Nimekumiss pia, ni majukumu tu yanabana, ukweli ni kwamba hakuna kosa kubwa kama msichana kuchezea usichana wako na mume wa mtu, yaani anakulostisha, anakupotezea ramani ukijakushtuka unagonga 30 na hakieleweki, yaani nikionaga mrembo anahangaika na waume za watu huwa namshusha dhamani sana, ni bora uruke na vijana wenzio ule ujana utakavyo kuliko kubanana na waume za watu, wanawapotezea muda sana tena sana.

Asante kwa kujua hilo wasichana wengi hupoteza muda sana kwa kuwa na waume wa watu
 
Tuache kujifariji, sio lazima kila mwanamke lazima aolewe lakini asilimia kubwa ya wanawake wanatamani ndoa, ndoa nayo ina raha yake jamani, tena sana tu
Nyamayao nimekupenda bure kwa point zako
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu kitambo sana sijawaona. Hivi sababu ni jukwaa kuvamiwa ama pia majukumu yamewabana??
kwasababu kama jukwaa limevamiwa na wanaona hii taasisi "ndoa" inaangamizwa, wao kama manahodha walitakiwa kufia chomboni. Ni sawa na makanisa lihitaji waliookoka tu, injili sijui itakuwa ya kazi gani.

Cc: gfsonwin Paloma Nivea Nyamayao dada zetu bado wanawajitaji mtindue bongo zao

Kinachonishangaza zaidi unakuta mdada mrembo haswaa, akiingia mahali anavutia haswaaa, lakini anaamua kutembea na mume wa mtu, tena kwa kuzurura nae kila kona, sehemu za starehe etc, mdada kama huyu anakuja kuzinduka jua linazama.
 
Nyamayao Acha tu tena utakuta ka binti kadogo kanapita na baba mtu mzima uso mkavu hana aibu
 
Last edited by a moderator:
Walaaniwe wote mchepuko na huyo mme wa mtu tena mme wa mtu ndo alaaniwe kabisa coz yeye anajua kabisa kaoa lakini bado anakitembeza.

By the way hakuna dhami kubwa wala ndogo hata ukisonya laana unayopata ni sawa na aliyezini sema basi tuu ni rehema za Mungu zinatuvuta tutubu nakuacha maovu yetu. Pengine wewe mke ambaye mme wako anachepuko ukute ni adhabu au laana umepewa kuteseka kwenye ndoa kwa makosa uliyofanya nyuma.

So tuweni na hofu ya Mungu jamani tuacheni kuona wanaochepuka wana dhambi sana kuliko tulio kwenye njia kuu dhambi ni dhambi na hardships tunazopata maishani ukute ni matokeo ya dhambi zetu so tutazame na matendo yetu pia.
 
Kinachonishangaza zaidi unakuta mdada mrembo haswaa, akiingia mahali anavutia haswaaa, lakini anaamua kutembea na mume wa mtu, tena kwa kuzurura nae kila kona, sehemu za starehe etc, mdada kama huyu anakuja kuzinduka jua linazama.

Tatizo wanajidanganya, wanasahau wanazidi kuchakaa kadri siku zinavyoenda. Wakija kuamka hakuna anayewataka maana wote ambao waliwataka kipindi hicho tayari wapo na familia zao
 
Mbona wengi tu wanaolewa? Na hiyo laana ni kwa wanawake tu, mbona wanaume wanatembea na wake za watu na wanaoa au hiyo laana inachagua watu?
 
Sio laana ila kile kitendo cha kuwa na mme wa mtu unakuwa kama umejilaani. kumbumbuka Biblia inasema usitamani mke wa jirani ikimaanisha na msichana/ mwanamke usitamani mme wa watu.

KwaniKwanini mnapenda kutoa tafsiri ambazo Mungu hakuzipanga? Usitamani mwanamke asiye wako lakini he said nothing kuhusu wanawake hiyo ni tafsiri yenu binadamu wa kiume.
 
Nyamayao Acha tu tena utakuta ka binti kadogo kanapita na baba mtu mzima uso mkavu hana aibu

Tatizo wanaume wetu wanachelewa kupevuka hadi wafike 40sth ndo maana wasichana hawana muda na watu saizi yao. Hawawachallenge chochote wala faida hawana muda wote wanawaza papuchi tu
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama binti amekaa muda mrefu kama miaka 5 bila kutongozwa na Ana hamu ya mapenzi kama vile binadamu wengine, sasa akitokea mume WA mtu muda wowote atakataa? Na yeye anahitaj kumaliza hamu yake?
 
Waache waringie na huo uzuri mwishowe watakosa hata wakuwasogelea hata ivyo wengi wao hawana raha wanahangaika na wanaume tu mpaka wanazeeka

Mimi huwa nashindwa kuwaelewa hawa mademu, yaani mtu ana akili timamu atajitahidi akazae na mume wa mtu mwisho wa siku akipigwa dochi analia na kutamani kijiua eti alionewa. Umeonewa wakati umezaa na mume wa mtu?
 
Wasichana wa siku hizi wanapenda short cut, hawapendi kuanza chini na mwanaume na hhiyo ndio inawaponza kuanza kutembea na waume za watu kujitafutia mabalaa. maana muibie gaga atakaa kimya, ila muibie mwa flan? yuko radhi hata kukodi wahuni wakubake, kuweni makini warembo, jitafutieni vya kwenu muepuke kurubuniwa na wanaume wa watu kwanza washajichokea lol
 
kwa walioolewa mume anauma sana. kubwa ni kumwomba Mungu apambane na wanaosimama katikati ya waliopendana, sasa hivi wanawaendea kwa waganga ili mradi wavuruge ndoa wao waingie, kwa imani yangu vita vyetu sio vya upanga ,bali ni kwa roho mtakatifu. mkabithi Mungu mume/mke wako. Apambane na hawa wavurugaji ambao wanawinda wake/waume za watu mchana na usiku.
 
If you don't like a player, change the game. Some women are cut-out to be nothing but Hot Totties. If we go after them, it's not entirely their fault. If a man intends to cheat, he'll even do it with a goat.

Punchline; Just handle your man, not the competition.
 
Hawa watu kitambo sana sijawaona. Hivi sababu ni jukwaa kuvamiwa ama pia majukumu yamewabana??
kwasababu kama jukwaa limevamiwa na wanaona hii taasisi "ndoa" inaangamizwa, wao kama manahodha walitakiwa kufia chomboni. Ni sawa na makanisa lihitaji waliookoka tu, injili sijui itakuwa ya kazi gani.

Cc: gfsonwin Paloma Nivea Nyamayao dada zetu bado wanawajitaji mtindue bongo zao
will be back soon
 
Back
Top Bottom