Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

Kula LIKE mkuu kuna watu wanawaza ushabiki was kisiasa masaa yote. Hats ukifanya jambo la faida wao ni siasa tu.
 
Ndugu zangu tuwe makini tusije kuamka kesho tukasikia mlima Kilimanjaro unahamishiwa wilaya pendwa, maana hifadhi za wanyamapori zimeanza kuhamishiwa wilaya pendwa.
Hivi Maguzu akili yake ikoje jamani, loh anatuchosha!
 
Kwanini iwe Chato tu na iwe Chato tu wakati huu?

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Chato..

Mbuga za Wanyama Chato...

Kila kitu Chato!
 
Aug 11, 2019
Chato kuneemeka na fursa ya kuwa karibu na nchi za Maziwa Makuu na EAC
Mkurugenzi halmashauri ya Chato azungumzia ilivyojipanga kutokana na fursa zilizopo kama Utalii wa kimataifa, Uwanja wa Kimataifa Chato , Hifadhi ya Burigi, Barabara kiwango cha lami, umeme gridi ya taifa,.......
 
Animal migration is natural happened,uwo uhamishaji wa magari unaonekana hujui unachokiandika ndugu

Huenda una ufahamu mdogo wa mambo ya wanyama. Faru wetu walichukuliwa hapa nchini na kupelekwa Afrika kusini, je kule walienda wenyewe? Kuna twiga na wanyama wengi walichukuliwa hapa nchini kifisadi kupelekwa nje ya nchi, huko nako walienda wenyewe? Kuna wanyama wanafugwa kwenye zoo, huko nako wanaenda natural? Ubishi au kutokujua jambo hakumaanishi hilo jambo halipo.
 
Mleta post kafungue kesi High Court kuhoji Bajeti ilitengwa au la?

Pili pinga kuhamishwa kwa wanyama wenu kupelekwa Chato

Tatu hoji kwa nini wapelekwe Chato na si Mabwe Pande?

Ni rahisi kushinda hiyo kesi na utakuwa mwanaharakati mpingaji mahiri nchini.
 
Kwahiyo Burigi walikuwa wanahifadhi nini?
Lilikuwa ni pori la akiba, niliwahi kuwaona kundi la tembo na pongo wachache tu, lkn kama ujuavyo sheria uwa sio Kali sana kwenye mapoli ya akiba kama zilivyo hifadhi hivyo kutokana na udhaifu huo wanyama wengi waliwindwa pia na Uhuru wa watu kudhurula polini ulikuwa mkubwa tofauti na sasa hivi
 
Mambo yake muachieni mwenyewe...

Hajui kama ana disturb ecology au eco system...

Kila kiumbe kipo kilipo kwa sababu, wala siyo kwa bahati mbaya...


Cc: mahondaw
 
kuna kitu cha kufikirisha hapa na kila mtu anaweza kuja na mawazo yake, baada ya kuingia mkuu madarakani unaona project kubwa na za kitaifa zinafanyika maeneo yale unakaa unajiuliza awamu za nyuma hawakuona umuhimu wa kupeleka hivyo vitu kipindi hicho au strategy za kiuchumi zikoje kuhusu Chato ? hizo harakati za kuipandish hadhi hiyo hifadhi ina interval ya muda gn like ten or five years? kwanini bandari ya chato inajengwa kipindi hiki na faida zake kiuchumi zikoje? maana yawezekana magu kalazimisha hivi vitu viende kule kwa research yake mwenyew like Tawi la crdb
 
Aug 11, 2019
Mkurugenzi halmashauri ya Chato azungumzia fursa zilizopo kama Utalii, Uwanja wa Kimataifa Chato , Hifadhi ya Bugiri, Barabara kiwango cha lami, umeme gridi ya taifa,
Hiv hii hifadhi ya burigi ipo wap .

Maana mie nayoifahamu ipo kagera huko muleba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…