Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Hajui.Mkuu plz naomba usichanganye kati ya nyege na heshima.
Jifunze kuwa msomaji wa Uzi wote acha uvivuKwahiyo tuwakubalie haraka haraka ama ?
Kwa kukusaidia kwa mwanaume aliyekamilika Hana mda wa Nye yeye ni mda wowote anaingia mzigoni, hayo mambo ya nyege yako kwa Wanawake ambao Mara wako siku zao, Mara wako siku za hatari lakin sio kwa mwanaumeHajui.
Hee sawa mkuu! Basi jifunze kusummarize pia haiwezekani ukaandika paragraphs zote hivo kama tunaingia kufanyia UE banaJifunze kuwa msomaji wa Uzi wote acha uvivu
Ewaaa!Kwahiyo tuwakubalie haraka haraka ama ?
Jamani ๐๐ nimeshakukubalia babe Z mwendo wa haraka haraka tu๐Ewaaa!
kumbe unaelewa haraka,
namimi nakazia hapahapa si ulisema unanifikiria mama, mwaka na nusu sasa niko bench.. au ndio mpaka uchunguuze kama kuna albino kwenye ukoo?!
Hee sawa mkuu! Basi jifunze kusummarize pia haiwezekani ukaandika paragraphs zote hivo kama tunaingia kufanyia UE bana
Asante babyJamaninimeshakukubalia babe Z mwendo wa haraka haraka tu
๐๐ sawa ila na bills zikija haraka haraka usikimbie, maana baada ya kukukubalia tu mtungi umeisha gas, luku, kodi nadaiwa na saloon vipi nataka niende๐๐Asante baby
Mleta uzi sijui nitamlipa nini maana nilisota!
Baby unaujua ule wimbo wa Mr Ebosawa ila na bills zikija haraka haraka usikimbie, maana baada ya kukukubalia tu mtungi umeisha gas, luku, kodi nadaiwa na saloon vipi nataka niende
Si unataka kukubaliwa haraka haraka ndiyo na bills uzikubali๐๐Baby unaujua ule wimbo wa Mr Ebo
"Wadada muwe na huruma"?