Baadhi ya wanawake na bikra

Sakayonsa upo very wrong mtu wangu!Kwani kuoa lzm utoe wewe bikira?Au mwanamke ashindwe kumringia jamaa yake sababu hana bikira?

Ahahaha bikira hamna siku hizi so kama una amua kuoa ww oa tu mpwa
 
aisee hii ndio jf wakifunga wanakuja kama wavamizi wakifungua huwaoni aisee hahahahahahaaaaaaaaaaaa
 
Kama unatak bikra kaoe mwanamke wa kikurya man au mzanzibar na acha kusumbua wengne au uoe mtoto chn y miaka 15
 
Malengo ya bikira ni nini? Ni uzio tu unaotakiwa kuondolewa nothing else
Ni uzio unaotakiwa kutolewa na Mume wako,na suala la kumtoa binti bikira lipo kiroho zaidi na ni maagano, ila tu nasisi Wanaume pia tunawabikiri mabinti wa watu na kuwaacha....thats why binafsi siwezi kuwapa lawama Wanawake pekee.
 
Wanaume kama mabinti.

Kutwa kucha kulialia.

Unataka kumpangia mtu maisha yake?

Kukosa bikra ndiyo nongwa?

Kama imemtoka kwa kupanda farasi au kubakwa?
 
Mbo
Mbona bikra nyingi, sema hujui kurenga
 
Duh mna agenda ya kuwakimbiza wanawake jf mbona kila siku wao tu? Wakuu mtaua watu kwa presha aisee
 
Hahahahahaha umenichekesha sana mkuu eti hata mlango wa uwanja wa taifa mwembamba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…