Baadhi ya wanawake na bikra

bikira imewekwa kwa malengo maalum sasa ww ichezee uone huko mbeleni,ndo chanzo cha kuharibu mahusiano mbeleni,nakushauri kaa na aliekutoa
Malengo ya bikira ni nini? Ni uzio tu unaotakiwa kuondolewa nothing else
 
wengine zimetoka bahati mbaya mkuu kuna kuendesha baiskeli,kubakwa n.k sio zote zimetolewa katika ile process ya ULIMBI NA ULIMBOMBO
 
Haya. Napenda tu kufahamu kama uliyemtoa ndio upo nae sasa? Au unaye aliyetolewa na mwanaume mwingine?
nipo nae sasa hivi siwezi kumuacha......ndo maana mnakua kwenye mahusiano mnalia lia tu,kutokua bikira kuna shusha hadhi na heshima kwa mwanaume wako,sema wengi hua hawasemi
 
Kwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
huna bikra tulia tuli usisumbue wala kudekea watu hiyo mikakati yako imara kaa nayo rohoni
 
Kwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
huna bikra tulia tuli usisumbue wala kudekea watu hiyo mikakati yako imara kaa nayo rohoni huna haki kabisa
 
Kwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
huna bikra tulia tuli usisumbue wala kudekea watu hiyo mikakati yako imara kaa nayo rohoni huna haki kabisa
 
Kwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
huna bikra tulia tuli usisumbue wala kudekea watu hiyo mikakati yako imara kaa nayo rohoni huna haki kabisa
 
nipo nae sasa hivi siwezi kumuacha......ndo maana mnakua kwenye mahusiano mnalia lia tu,kutokua bikira kuna shusha hadhi na heshima kwa mwanaume wako,sema wengi hua hawasemi
Ha ha ha hongera. Heshima na bikira vitu viwili tofauti. Nimemaliza
 
heshima kwenye mahusiano na sio vingine,utapata heshima zote ila sio kwenye mahusiano,hapo ndipo utaanza kubadili wanaume kama nguo
 
kiongozi umenena vema...ni bora mtu atulie kimya tuu sio kujidai...ooohh mi siwezi kutembea na mwanaume wa "chuo flani"af miezi miwilimbele watu wa nakamua...ilitokea nikiwa first year 2008...acheni kujishebedua
 
Hahaha brother ukililia saana utapewa the chinese version of it
Chunga sana ni matapeli sana wengi wao!
 
Mimi bwana niliamua kwa moyo safi ku specialise na dubai huko nyuma niliwahi kununua Japan kama mara mbili aah ni ghali sana so am happy na dubai.
Mkuu umeniacha njia panda. Dubai na Japan zinasimamia tafasiri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…