Baadhi ya wanawake na bikra

Usiwatendee wengine yale usiyotaka wewe utendewe, hiyo bikra wewe mleta uzi unayo?
 
Teh teh..Mtoa mada inaonekana umeitafuta sana bikra bila kuipata ndo mana umepanic.

Huyu mtoa mada amechanganyikiwa pia! Kaitafuta sana bikra huyu, na inaelekea kuna ke alimpata akamdanganya ana bikra sasa ameikosa ndio kuja kubweka huku.

Me namshauri tu, mwanamke kuwa "sealed" bikra haimaanishi ndio ana tabia nzuri, au ametulia...wengine wako na bikra kwa kukosa fursa za watu wa kuwatoa. Na mwanamke kujitapa ni bikra wakati wa tongozo ni dalili za unyimi wa hali ya juu.
 
Hahahaaa huwez kosa bikra mkuu..hata sa hv ukitaka unapata tatizo lako uliingia kichwa kichwa...bikra za mchina zimeenda wapi kwani??nazo ni bikra msikatishwe tamaa ooh miaka 200 ...zipo bhana....
 
mtoa mada waliooa wake za watu na wadada watakuponda sana leo.
 
Mimi bwana niliamua kwa moyo safi ku specialise na dubai huko nyuma niliwahi kununua Japan kama mara mbili aah ni ghali sana so am happy na dubai.
 
Again malalamiko kuhusu wanawake...duh hivi hua wanawake hatuna mambo mazuri mtusifie japo siku moja moja?...vibaya hivyo wajameni..
Oooh.. Una makalio makubwa afu mazuriiii😉
 
hao madada nawaogopa sana binafsi kuna mdada kabadilisha maisha yangu kwa ushenzi kama huo,nafuga miaka miwili ooh mimi bikra ooh mama kanikataza ooh me geti kali hata kukutana shida sana ooh naogopa sijawahi naskia inauma ooh nkikupa utaniacha ,,,loh siku imewadia basi hata mlango wa kuingia uwanja wa taifa basi mwembamba!i hate these kind of women!ni mashetani! cha ajabu mtoto mwenyewe alikua mdogo tu ,from form two paka form four tayari ushakua ovyo sipati picha saivi yukoje mungu amsaidie!
 
We run their worlds
 
Ndio limenitoka. wewe mke wako umemkuta bikira? Au dada zako wameolewa mabikira? Bikira mnazitoa nyie hlf unataka uoe mwanamke bikira? what goes around comes around. Hutapata mwanamke bikira kamwe! Miaka 200
wanapatika tu,spea used ni hatari sana na sito zitumia kamwe
 
Wakishapatikana unawaoa wote? Au ndo unawaachia wenzako waoe hizo used?
bikira imewekwa kwa malengo maalum sasa ww ichezee uone huko mbeleni,ndo chanzo cha kuharibu mahusiano mbeleni,nakushauri kaa na aliekutoa
 
Kwahiyo kama mtu Hana bikira awe malaya tu?
 
bikira imewekwa kwa malengo maalum sasa ww ichezee uone huko mbeleni,ndo chanzo cha kuharibu mahusiano mbeleni,nakushauri kaa na aliekutoa
Haya. Napenda tu kufahamu kama uliyemtoa ndio upo nae sasa? Au unaye aliyetolewa na mwanaume mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…