Baadhi ya wanawake mmezidi uvivu

Baadhi ya wanawake mmezidi uvivu

Husijifanye Huelewi.Kama Na Wewe Unatabia Hiyo Acha!

mmh! nimemuelewa sana mkuu! kinachonishangaza ni je kamwambia au ndo kaja huku atoe hasira tu halafu kamaliza?

binafsi cko hivo kabisaaaaa!
anayenimiliki ndo anajua haya
 
Kwan kaanza leo na umefanya bidii gan kuongea nae kuhusu hilo na unae kwa muda gan au ndio umebeba jana leo unakuja kwetu kulalamika kua mvivu
 
Utakuta ameshakuomba kamtaji tuu ka 1moja ukamtosa halafu unakuja kulia lia hapa.
 
Sasa kama mmeamka ukashindwa kumpa game ya kitandani.... kuna ubaya gani akicheza na game ya kwenye simu????



Mmezidi uvivu sasa, mtu unaamka asubuhi with alot in your mind to face the rest of the day ndio kwanza mwenzako yeye anacheza game kwenye simu.

Mnaboa,badilikeni.
 
Si mcheze wote? anachezea game we unamwacha loh ..!mwanaumw habari zako zimeisha.
 
inawezekana na wewe ni borer ndio maana anaamua kuji keep busy kwenye simu. jichunguze...
 
Kwani wanawake wameisha?!au ulisusiwa na wazazi wako?!
 
Anatakiwa akiamka achezee nanihii. Sasa mtu anaamka na a lot in his mind, kama mie nimeamka with nothing in mind nifanzeje na mjini hakuna mashamba?
Alitakiwa kufanya nini badala ya kucheza game?
 
Back
Top Bottom