Baadhi ya Wadau Mnakera Sana

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
33,756
67,725
Kuna mdau anaitwa nanyupu kuna uzi wake (siuoni tena nadhani umefutwa) alianzisha akisema kua baadhi ya wanaume wanakera, lakini katika uzi mzima alikua ameweka picha ya teja na shoga na kusema hao ni wanaume wa Dar na wanakera.
Binafsi nimeona huo ni upumbavu sana, mtu anaandika mada anaweka picha ya shoga kisha anaandika "Huyu ndiye mwanaume wa Dar" ajabu ni kua baadhi ya wadau bila facts kutoka kwa mleta uzi, wakawa wanasapoti.
Kwa kuangalia ni kua anataka kumuaminisha kila mtu kua wanaume Dar tupo hivyo.

Lakini hata tukiamua kwenda kwa akili ya kawaida ni kwamba ikiwa Dar wote ni mashoga nani hua anamfanya mwenzake?
Anataka kutuaminisha kua mashoga wa Dar hua wanahama mkoa na kufuata wanaume nje ya eneo lao kama eneo fulani la kaskazini?

Kimorali, Mbundimbundi ‘zinavyovunja ndoa’ Rombo

Lakini hata hivyo mashoga ambao wanaonekana Dar ni wale ambao wapo katika mitandao ya kijamii na kujitangaza hivyo wapuuzi wachache wanajiaminisha kua ushoga umetia nanga Dar wakati si kweli hata maeneo mengine mashoga wapo pengine zaidi au karibia na Dar kwa idadi

Zaidi ya watu 1500 wajitangaza kuwa mashoga Iringa | StarTV

Pia mashoga ambao wapo Dar aghalabu ni waliotoka maeneo yao mengine na kuja kuishi hapa Dar, kwa mfano hata mashoga kutoka nchi zingine nao hutia nanga hapa.

http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/mashoga-kutoka-kenya-uganda-wakutana-dsalaam

Je wa kutokea huko mikoani watashindwa nini kuja hapa Dar?

Kuongea vitu bila ushahidi inaonesha ni kwa kiasi gani mtu upo na mawazo mafupi na kuongea kwa kufuata mkumbo.
 
Acha tu, halafu anaonesha picha ya mtu mwingine kisha anasema "...anaitwa Kaoge" wakati siyo kweli.
Yule jamaa alieanzisha ule uzi mjinga sana alitaka kuwaaminisha watu kuwa wanaume wa dar wote ni mashoga, bora uzi wake wameufuta.
 
Halafu mbona nyie wahamiaji huko Dar mnapiga kelele sana wakati wenye mji wao wapo kimya.
 
Yule jamaa alieanzisha ule uzi mjinga sana alitaka kuwaaminisha watu kuwa wanaume wa dar wote ni mashoga, bora uzi wake wameufuta.
Labda safari ijayo ataonesha ni kwa vipi tuhalalishe picha zake kua ni za "mwanaume wa Dar"
 
Yaani wewe kuiweka tu hii thread, hapo ndio lengo lao limetimia.
wewe unakasirika, wao ndio wanafurahi.
Hauwezi kuwazuia watu kusema wanachotaka kusema, kukaa kimya pia huwa ni jibu zuri sana.
 
Yaani wewe kuiweka tu hii thread, hapo ndio lengo lao limetimia.
wewe unakasirika, wao ndio wanafurahi.
Hauwezi kuwazuia watu kusema wanachotaka kusema, kukaa kimya pia huwa ni jibu zuri sana.
Hapana mkuu sijakasirika ni katika kuwekana sawa tu.
 
Back
Top Bottom