Baadhi ya wadada mna tabia mbaya

Baadhi ya wadada mna tabia mbaya

Tatzo sio kumpa ela ila ukimpa ama akikuomba kwa ajir ya sex huyo ni malaya tu

Hajaniomba hela kwa kunipa k. Mimi nampa kama nauli kulingana na mimi ninavyomuonea huruma na maisha anayoishi najihisi nimpe iyo hela ili aweze kujikimu japo najifanya kama nampa nauli ila najua siyo nauli bali ni hela ambayo hata haitoshi matumizi yake.
 
Acha matusi. Sitembei na machangudoa mimi shika adabu yako dogo
Narudia tena huyo ni changudoa
Muhuni mwenzako
Hivi una akili wewe??
Changudoa anakuendeshaje wewe kijana
Acha upumbavu wako ulilea upumbavu endelea kuvuna upumbavu wako uliotaamia Kama kuku kwenye mayai

Vijana wa siku hiz mmelogwa????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom