Baadhi ya wadada mna tabia mbaya

Baadhi ya wadada mna tabia mbaya

Uwe unazitenganisha, unampa 40 afu 10 unampa bodaboda ya nauli ili moyo wake uridhike.
 
Soulution simple tu,huyo anajiuza mkuu,halaf kwann unampa 40k yote kama nauli,inamaana anasafiri kwenda mkoa mwingne?,au mm ndo cjaelewa?,,,ck nyingne akitaka kuja mwambie asije na kwamba ww huna nauli,halaf unagalie reaction yake,,,usikute anakuja kwako kwa sababu ya hzo 40k za nauli!
 
Tuko uchumi wa kati mkuu,ikibidi anza kumuitia tax au uber.
 
Huyu manzi kila siku ananipigia simu anataka aje nampotezea kwakuwa nakua na mambo mengi pia sina mzuka naye. Ila tatizo lake nikimuambia aje anakuja anakula shoo, akiondoka nampa nauli maybe elfu 40.

Ikija bodaboda anaanza ugomvi nimpe nauli ya bodaboda. Namuambia si nimekupa nauli hiyo si ulipe bodaboda? Anaanza kununa na kugoma anataka nimlipe bodaboda wakati mimi nimeshampa yeye nauli. Halafu kesho tena anaanza kunipigia masimu eti anataka kuja?
Nauli 40000 hv nyiny wanaume wengine akil mnazo kwel nauli 40000 ya kwenda mkoan au ? Apo demu kashajua ww fala mm kwangu nauli haizid 5000 na wanashukuru sasa ww 40000 kwann asinganganie kuja
 
Unauziwa pusy elf 40 harafu unapiga bao moja si bora ununue sabuni ya mawingu sh 200 na humalizi (jokes tu )

Tafuta pesa umwongezee nauli hadi laki4 uone kama hajahamia kwako mazima
 
chakufanya man tafuta pisi nyengine yeye mwenyewe atashusha Bei mpaka bure
 
migodi midogo midogo kama wewe ndo inapendwa sana na wadada....
 
Huyu manzi kila siku ananipigia simu anataka aje nampotezea kwakuwa nakua na mambo mengi pia sina mzuka naye. Ila tatizo lake nikimuambia aje anakuja anakula shoo, akiondoka nampa nauli maybe elfu 40.

Ikija bodaboda anaanza ugomvi nimpe nauli ya bodaboda. Namuambia si nimekupa nauli hiyo si ulipe bodaboda? Anaanza kununa na kugoma anataka nimlipe bodaboda wakati mimi nimeshampa yeye nauli. Halafu kesho tena anaanza kunipigia masimu eti anataka kuja?
Mkuu, ngoja nikuambia kitu kimoja.. Mie demu wangu yeyote toka tunaanza mahusiano sitaki kumzoesha kumpa pela(kivipi...?)
Hebu basi nikwambie, demu huwa nampa pesa siku yoyote tena inaweza ikawa bila kuniomba, siku nikimuhitaji aje tung'onoke naweza mtoa bila kumpa pesa.
Kikubwa naondoa ile dhana ya kwamba namhonga au nampa pesa kwa kuwa kanipa utamu
Ogopa sana demu ukimzoesha pesa kila baada ya kugegedana, ina maana siku usipokuwa na pesa utashindwa hata kumuita.
Napenda kumjengea mwanamke mahusiano kama tupo mume na mke (Yaan tunasaidiana tu kwenye maisha) Sio kuuziana then nafsi moja inaumia
 
Mkuu, ngoja nikuambia kitu kimoja.. Mie demu wangu yeyote toka tunaanza mahusiano sitaki kumzoesha kupa hela(kivipi...?)
Hebu basi nikwambie, demu huwa nampa pesa siku lolote tena inaweza ikawa bila kuniomba,siku nikimuhitaji aje tung'onoke naweza mtoa bila kupa pesa.
Kikubwa naondoa ile dhana ya kwamba namhonga au nampa pesa kwa kuwa kanipa utamu
Ogopa sana demu ukimzoesha pesa kila baada ya kugegedana, INA maana siku usipokuwa na pesa utashindwa hats kumuuita.
Napenda kumjengea mwanamke mahusiano kama tupo mume na mke (Yaan tunasaidiana tu kwenye maisha)

Mara ya kwanza huwa wanajifanya hawapendi hela tena hata ukimpa anakushangaa. Ila sasa hawawezi kuficha makucha kwa mda mrefu. Unajua kama una demu hana ishu zinazoeleweka lazima matatizo yatamzonga mara gesi mara kodi mara michezo sijui michango lazima atakuletea pigo hizo tu na mara nyingi ukiwa uanagegeda ndo utaskia matatizo kibao ambayo kimsingi husipoyatatua jiulize anayatatuaje?
 
Sawa ila hizo shida za hela ya kodi,sijui nyumba, gesi ni lazima umpe hyo siku ya gegedo..?
 
Sawa ila hizo shida za hela ya kodi,sijui nyumba, gesi ni lazima umpe hyo siku ya gegedo..?

Sawa unaweza mpa kwa kumtumia tigopesa ila siku ya gegedo lazima atakuja mtupu utashanga anataka nauli yaani mkishazoeana lazima atakuambia ile hela nimelipia blablabla sina hata mia ya matumizi.
 
Sasa unatufokea sie tunahusikaje kwenye hizo biashara zenu?
 
Saivi akija mpe 35000 na hiyo 5000 lipia bodaboda ili kuondoa mgogoro bila matatizo 😁😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom