Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho kwani kipimo cha ufala utahira uzuzu ujuha humu JF huwa na fala kama wewe kuitusi ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani Mbona ID yako ni ya kishamba tena eti Dr Akili wakati Akili huna hata ya kugia ndevu tu, humu watu wapo busy na mada siyo kusengenya ID kishamba shamba ukizani utapata uteuzi kwa kuandika kingereza kibovu cha kijinga jinga tu, CCM kama wanakuona wewe ndiyo mtetezi wao mitandaoni watakuwa vipofu kwani badala ya kuwatetea unawadhalilisha sana
 
Nilishalijibu halielewi. Limebaki kunitukana. Ni ligonjwa liko Mirembe. Minyoo imepandisha schizophrenia yake kwa kiwango kikubwa.
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho kwa ufala wako unadhani ukiandika mirembe ukisengenya ID za JF utaonekana ni mjanja wakati wewe mwenyewe hapo ulipo ni mgonjwa wa mirembe, huna kigezo cha kumkosoa yeyote kwani huna Ubongo kichwani umejaa kamasi debe mbili.
 
kuendelea kutetea watu wakamatwe kisa wameandamana maandamano ya Amani kudai katiba mpya kudai CCM iache kuwabambikia kesi za uonevu uongo kwa wapinzani ni Aibu
 
Ni lini huyu mama atafikishwa mahakamani kwa kesi ya Ugaidi ?
 
Mpaka leo wanamshikilia kwa sababu zisizo na mashiko yoyote
 
kuendelea kutetea watu wakamatwe kisa wameandamana maandamano ya Amani kudai katiba mpya kudai CCM iache kuwabambikia kesi za uonevu uongo kwa wapinzani ni Aibu
Halafu wanaogopa hata kuwafikisha mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…