Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,452
Msije kuwa mnafunga pump za 20,000/= halafu mseme mmefunga pump genuine.
Maana kwa mbali ndo ninachokiona hapa.
Mwisho angalieni nyaya zinazoingia kwenye tank la mafuta zinapeleka volt ngapi. Kama ni zaidi ya 9.37V basi shida itakuwa hapo.
Nashukuru Sana Kwa msaada wako samahani je una garage? Na kama unayo kama nikitaka kuja kujifunza zaidi kwako garama ya Ada ni shilingi ngapi?Msije kuwa mnafunga pump za 20,000/= halafu mseme mmefunga pump genuine.
Maana kwa mbali ndo ninachokiona hapa.
Mwisho angalieni nyaya zinazoingia kwenye tank la mafuta zinapeleka volt ngapi. Kama ni zaidi ya 9.37V basi shida itakuwa hapo.
Nashukuru Sana Kwa msaada wako samahani je una garage? Na kama unayo kama nikitaka kuja kujifunza zaidi kwako garama ya Ada ni shilingi ngapi?
Na mimi nilitaka kuchangia kama wewe...
Nina gari la nissan lilikufa pump...uzuri magari ya Japan yanaingiliana pump tofauti ni housing
Mafundi wasio waaminifu sometimes wanachangia kuua magari ya watu na kuwapa watu gharama ambayo si ya msingi..Yaani kuna siku niliumia kweli.
Kuna ndugu yangu aliamka siku hiyo kila akiwasha gari engine haipokei. Wakaja mafundi wakaja mafundi wakacheck pale wakasema shida ni pump na relay. Pump kweli ilikufa sababu niliwaona wakati wanajaribu, ila ile relay waliondoka nayo halafu wakarudi nayo ileile wakiwa wameipiga rangi halafu wakasema wamebadilisha...
Sawa kiongozi mi Nina ideal ya magari na napenda Sana kujua kwaundani zaidi kuhusu elimu ya engine na gearbox nifanyaje?Mi sina Garage Mkuu... Ila kuna kijiwe tu ambacho nashinda. Na sijafikiria kufundisha mtu kwa siku za karibuni.
Mkuu, kiutaalam unatakiwa kubadili giabox fluid kila baada ya km ngapi au mda gani mkuuMkuu Bavaria Kwanza kabisa unatakiwa kufahamu kwamba yote yanayotokea ndani ya Automatic gearbox yanakuwa controlled na pressure ya fluid inayokuwa ndani ya gearbox(ATF). Maana yake ubaposhift kutoka P kwenda N kuna valves zinaopen na fluid inakuwa pressurized kuingia baadhi ya maeneo...
Mkuu, kiutaalam unatakiwa kubadili giabox fluid kila baada ya km ngapi au mda gani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu kwa sababu nitakuwa nimedhamiria na ninajua itanisogeza siku mbili tatu..Hahah ati bora ununue spea feki wewe mwenyewe kuliko akununulie fundi.
Sawa kiongozi mi Nina ideal ya magari na napenda Sana kujua kwaundani zaidi kuhusu elimu ya engine na gearbox nifanyaje?
nami nielekeze nilipieDah mkuu sijui utasaidikaje.
Ukihudhuria garage na youtube na kusoma sehemu zingine unaweza kujikuta umepata unachokitafuta.
Me nalipia $8.99 kila mwezi Scribd ili tu nipate access ya pdf ambazo wamechambua model mbalimbali za automatic gearboxes...
Asante sana mkuu. Next month ntakaribia hata kama for few days. Tutajuzana.
nami nielekeze nilipie
Ushakuja dar?
Mkuu samahan, eti ni kwann rav4 old model na Escudo zinakuwaga na ugonjwa wa kiduku na kwann gari nyingine za 4wd hazinaga ugonjwa huu? Na huwa kinasababishwa na nn?Nilikuwepo Dar nmetoka kidogo ila narudi jumatatu ya week ijayo.
Mkuu samahan, eti ni kwann rav4 old model na Escudo zinakuwaga na ugonjwa wa kiduku na kwann gari nyingine za 4wd hazinaga ugonjwa huu? Na huwa kinasababishwa na nn?
Kwa wasiojua kiduku ni ugonjwa flani ukiweka gia kuna mlio flan unasikika
Pale unapo weka tu gear unasikia mshindo (kup)Huo mlio unakuwepo muda wote gari inapokuwa kwenye gear au unapoweka tu gear unakuja na kupotea?
Pale unapo weka tu gear unasikia mshindo (kup)