Boss kuna Nissan liberty moja nahisi ina mojawapo ya hizo changamoto, yenyewe injini ikiwa imepoa ukawasha inaondoka fresh inachange gear kama kawaida but ikishapata joto inajirudisha kwenye gear No. 1 au 2 hata kama upo speed kiasi gani, hapo ishu inaweza ikawa nini maana hata kutembelea highway unaingia nayo kwa machale sana otherwise inaweza kusababisha ajaliWatu wengi wanaokumbana na matatizo kwenye Automatic gearbox huishia kubadili gearbox zao. Mfano wa matatizo hayo ni gearbox haitaki kushift gears, inadelay kushift gears, engine kuendelea kuzunguka katika RPM kubwa hata baada ya kukanyaga brake, gearbox kuslip, gearbox kustuck katika Neutral position, Kutopata reverse gear, vibration during gear shifting au mengine yanayofanana na hayo. Lakini je ni kweli kwamba automatic gearbox hazitengenezeki(irrepairable)?...
Boss kuna Nissan liberty moja nahisi ina mojawapo ya hizo changamoto, yenyewe injini ikiwa imepoa ukawasha inaondoka fresh inachange gear kama kawaida but ikishapata joto inajirudisha kwenye gear No. 1 au 2 hata kama upo speed kiasi gani, hapo ishu inaweza ikawa nini maana hata kutembelea highway unaingia nayo kwa machale sana otherwise inaweza kusababisha ajali
Boss kuna Nissan liberty moja nahisi ina mojawapo ya hizo changamoto, yenyewe injini ikiwa imepoa ukawasha inaondoka fresh inachange gear kama kawaida but ikishapata joto inajirudisha kwenye gear No. 1 au 2 hata kama upo speed kiasi gani, hapo ishu inaweza ikawa nini maana hata kutembelea highway unaingia nayo kwa machale sana otherwise inaweza kusababisha ajali
Habari mkuu kuna tatizo kwenye gari tatizo lakula mafuta kuliko kawaida gari ni funcargo cc1290 Lita 1 inaenda kilometa nane lilibadilishwa plug nakuweka za sindano lakini tatizo bado liko palepale naombeni msaada haswa wa jinsi yaku solve Hilo tatizo
Haya matatizo ya gear shifting yanaweza kurekebishika na kitu kizuri zaidi ni kwamba issues nyingi za Automatic gearbox unaweza kuread kwenye OBD II scanner. Lakini pia ni vizuri zaidi ukaconfirm kwa kuipima hiyo solenoid individually baada ya kupata majibu kutoka kwenye OBD II scanner. Na hii itakusaidia kujua kama ni solenoid yenyewe ndio ina shida au kama valve ndio ina shida(Hapa nazungumzia automatic transmission ambazo zinakuwa na separated valves na solenoids).
Mkuu mi nina gx 100, ilikuwa na ttzo la engine ambayo ilikuwa 1jz ,ikabidi niibadilishe kwa kuweka 1g,gari ikawa haibadili gia kutoka 3-4,na sab walisema kuwa engine na gear box hazimatch na wakashauri nibadilishe gear box....je ni kweli na inapaswa nibadilishe gear box au ni uwezo wao wa kiufundi umeishia hapo
Mkuu wewe ni fundi hasa, gari yangu ilikuwa na shida ya eneo hilo, nilivyopeleka kwa fundi alifanya kama ulivyoelekeza, akafanya diagnosis akapata majibu, akaenda moja kwa moja kwenye kuzikagua soleonoid zote sita, akakuta moja imekufa (pressure solenoid), tukaweka nyingine mpaka leo ugonjwa haujarudi tena , tokea 2018 mwezi wa 10.
Aiseee ulibahatika... Maana ungekaa vibaya ungejikuta unanunua gearbox nyingine...
Kwa jinsi unavyoeleza hapa nahisi ni kama huyo fundi aliyenirekebishia tatizo langu, maana hakufanya kwa kubahatisha, alikuwe very systematic, ubarikiwe sana mkuu!
Wanaweka ATF fake ndio sababu. Anapaswa aweke ATF ya toyota 110,000. Watu wanaweka ATf za elfu 30 unategemea nini. Pia wanashauriwa na mafundi mchundo wazee wa filter za elfu tatu na oil ya SAE40
Shukrani sana mkuu. Japo siyo mimi maana 2018 sikuwa hata nafikiria kama kuna siku nitakuja hata kufungua gearbox ya Automatic.
Hata mimi naamini sio wewe, ila skills za kwenye hilo eneo mnashabihian sana, huyo ninayemsema anaishi Dar - Tabata.
Mkuu nashukuru kwa darasa lako limenielimisha vizuri,Mimi gari yangu kila asubuhi nikiwasha kuna mlio wa kitu kama kinagonga unatoka maeneo ya gearbox.Ila baada ya muda kidogo gari ikiwa silence unapotea,Mara nyingi inakuwa asubuhi tu,tatizo
Sawa mkuu,mi nipo Dodoma unategemea kufika na hukuDah mkuu sijajua.
Labda mpaka nisikie hiyo sauti...
Nilikua na familia nakwenda mkoani kufika morogoro tukasimama msanvu kupata kifungua kinywa gari ipo silence
Tulipoondoka kuelekea dom gari ikaanza mawenge nikikanyaga mafuta injini inazunguka free kama ipo kwenye P
Mara ikubali mara ikatae
Baadae ikakataa mazima ikabidi tuiache Moro tuendelee na safari na basi maana mafundi walisema geaboksi ikiharibika hakuna namna ni kununua ingine
Ilibidi nitafute geaboksi nyingine aisee
Mkuu kuna gari Kila ikibadilishwa pump inakufa baada kama ya miezi minne Tu sasa tatizo hapo ni nini linalopelekea mpaka pump Kuwa inakufa mala Kwa mala?