Baadhi ya sheria za ajabu duniani: Ni marufuku kununa ukiwa kwenye jiji la Milan, Italy

BigBaba

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,908
9,040
Sheria za jiji la Milan nchini Italy zinawataka watu wote katika jiji hilo kutabasamu muda wote isipokuwa tu wanapokuwa kwenye misiba au wanapowatembelea wagonjwa hospitalini.
Mtu atakayekutwa amenuna bila sababu za msingi atakabiliwa na faini kali.
1e588a0f3523e2dc1ee4bdd52d814c36.jpg
 
Hiyo sheria ingekuja Bongo kwenye ndoa zetu afu iwe unayenuniwa unalipwa, hakika ningekua Bilionea mana wife anagubu huyo kama nini, yani hata ukicheka na mdogo wake ananuna, sasa kasheshe ni pale anapokua mjamzito, yani hiyo ingekuwepo basi wakati wa ujauzito kwangu ungekuwa msimu wa mavuno.
 
Makubwa na wale wenye sura kama wamenuna muda wote si wamelipa fain mpk basii
 
Hahahahaahaah dah! Ngoja niishie hapa

Back
Top Bottom