Baadhi ya mashtaka ambayo hayati John Magufuli angeweza kufunguliwa iwapo asingefariki

Endelea kulea mimba ya CHUKI aliyo kuachia Mwendazake na mimba za Chuki hata ule ndimu vip bado unayema mate hovyo hovyo.

Ila si shangai mnamzunguzia vibaya ,sababu kuna kundi la watu wengi wana mzungumzia vizuri najua mnaumia, ila legacy sio mzimu bali huji dhihirisha kwa watu kadri ya muda unavyo enda watu sasa hivi wanalinganisha hali ilivyokuwa na sasa wanagundua kuna utofauti mkubwa.

Najua na mimba yako ya chuki unaumia ila watu waliyaaona na kwa vinywa watazidi kuyaongea yaliyo bora ya Magu.
 
Tanzania ilihitaji mtu kama JPM wa kutukumbusha kuwa tumelala mno. Tulimhitaji hayati wa kutuonyesha ni wapi tunapotaka kwenda na hatutaweza kufika kwa kuendekeza uzembe na umwinyi.

Na kwa bahati mbaya aliongoza kwa muda mfupi tu, alitakiwa atuondolee kabisa zile tabia za kuoneana halafu mtu anakuwa mpole tu akiishia kusema hewala bwana!. Alitakiwa adumu kwa angalau miaka mingine kumi ili tunyooke haswa tuondokane na siasa za kufanyana wajinga wakati Mungu katuumba na akili za kutosha tu.
Magufuli ndio aliongoza kutaka kuwafanya watanzania wajinga na mazuzu. Alikuwa mvunjaji wa sheria na mkatili asiyefaa.
 
Endelea kulea mimba ya CHUKI aliyo kuachia Mwendazake na mimba za Chuki hata ule ndimu vip bado unayema mate hovyo hovyo.

Ila si shangai mnamzunguzia vibaya ,sababu kuna kundi la watu wengi wana mzungumzia vizuri najua mnaumia, ila legacy sio mzimu bali huji dhihirisha kwa watu kadri ya muda unavyo enda watu sasa hivi wanalinganisha hali ilivyokuwa na sasa wanagundua kuna utofauti mkubwa.

Najua na mimba yako ya chuki unaumia ila watu waliyaaona na kwa vinywa watazidi kuyaongea yaliyo bora ya Magu.
Kumbe ana mashtaka ya kusababisha chuki pia? Ngoja tuyaongeze kwenye hati.
 
Haya hapa ni baadhi:

1. Kufanya udanganyifu juu ya chanzo cha fedha za utekelezaji wa miradi ya serikali
2. Kuamuru ubomoaji wa nyumba za raia wa kimara wakati wengine walikuwa na zuio la mahakama
3. Kutamka hadharani kwamba angewapoteza watu ambao wametofautiana mtazamo na yeye
4. Kupora michango ya waathirika wa tetemeko la ardhi
5. Kuamuru Dodoma iwe jiji bila kufuata utaratibu wa serikali
6. Kutamka hadharani kwamba wasaliti wanatakiwa kuuawa masaa machache kabla ya Tundu Lissu hajashambuliwa kwa risasi
7. Kupotea kwa kijana Ben Saanane ambaye alikuwa anahoji uhalali wa PhD yake
8. Kupora uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020
9. Kufukuza wafanyakazi wa umma bila kufuata taratibu
10. Kutoa kauli za ubaguzi na uchochezi miongoni mwa wananchi wenye mitazamo tofauti
Naunga mkono hoja zako. Pia Kuna hili la kutusababishia ugumu wa maisha watanzania. Watu wasioona mbali wanafikiri hali hii ngumu ya mdororo wa uchumi/kusinyaa mzunguko wa pesa mtaani, aliyesababisha ni Samia, au Mwigulu au hata tozo. Hawa wana mapungufu yao, maana wote ni ccm walewale. Lakini chanzo hasa cha matatizo yetu ni magufuli, Kwa hatua kadhaa mbovu alizochukua:
1. Alichukua vyanzo vyote vya mapato ya halmashauri zote na kupeleka serikali kuu. Hii iliondoa mzunguko wa pesa mitaani na kufanya halmashauri zishindwe kutekelezwa majukumu yake. Huko serikali kuu matumizi ya hizo pesa yalikuwa mabaya eg kujenga airport chato kununua ndege bila business plan, kuhamia Dodoma kwa mihemko etc.
2. Kufunga biashara ambazo zilikuwa zinadaiwa kodi (au kodi za kubambikiwa). Hata kama kweli watu walikuwa wanadaiwa kodi, haikuwa makosa yao pekee bali hata maofisa wa tra walishirikiana au kuwashawishi wafanya biashara- kuwakadiria mapato chini ya uhalisia Ili wapate rushwa. Suluhisho hapa haikuwa kuwafungia na kuwafilisi bali kukubaliana utaratibu wa kulipa deni pamoja na faini, biashara iweze kuendelea Ili ajira zisipotee na kodi iendelee kukusanywa.
3. Kuwanyang'anya watu pesa zao, eg bureau de change (hakuna kesi zilizopelekwa mahakamani). Wengine walinyang'anywa kimya kimya- wakisha chungulia mtu ana 'b' kadhaa hapo benki wanamfuata na kumlazimisha kutoka pesa.
4. Kuvuruga biashara ya mazao ya chakula eg korosho kule kusini, mbaazi kile Arusha, Manyara etc, in mahindi ktk maeneo kadhaa ya nchi nk. Hii ilisababisha bei kushuka chini ya gharama za uzalishaji hivyo wakulima na wafanya biashara kupata hasara na ajira kupotea.
5. Kuuwa sekta binafsi eg kukatataza matumizi ya mahoteli/kumbi za binafsi kutumika Kwa shughili za serikali, kunyima makandarasi kazi za umma na kuwapa majeshi (kimsingi sio majukumu yao) etc. Hii Kwa kiasi kikubwa ilipelekea biashara nyingi kufungwa, hivyo wafanyakazi kukosa ajira na pia kodi iliyokuwa inalipwa kupotea.
Hatua hizi (chache nilizoorodhesha) pamoja na nyingine, madhara yake ndio yanaonekana sasa. Hali hii ngumu itegemewe kuendelea Kwa muda mrefu kwani ukishabomoa au kuleta madhara ktk mfumo, inachukua muda mrefu kuponesha. Mfano hai, Tanzania tulipiagana vita na Uganda 1978/79. Baada ya vita rais Nyerere alitangazia taifa watu wafunge mikanda, kwamba ingetuchukua miezi 36 kuondokana na madhara ya vile vita. Kinyume chake hali ngumu ya maisha iliyosababishwa na vita iliendelea Kwa miaka mingi.
 
Kwakweli jamaa anatakiwa afikishwe mahakamani hata maiti yake maana mashtaka ni mengi sana.
 
Back
Top Bottom