Baadhi ya mahitaji ya mume

Hicho ndicho kitu cha kuzingatia, only mumeo akupende basii ila usishindane nae na wala usishindane na ndugu zake wapuuze
 
Sio kihivyo bhna kama unavyotufikiria. Tunabadilika kidogo kidogo
 
Hicho ndicho kitu cha kuzingatia, only mumeo akupende basii ila usishindane nae na wala usishindane na ndugu zake wapuuze
haswaaa, wifi bhana, kwani ile alosema two way trafic alimaanisha na ndugu? la hasha,

kipenzi tu ndo mpango wa mujini wengine unakula kimya.
 
LadyAJ you didn't get my concept by saying "Mapenzi ni Two Way Traffic"

Huyo mleta mada aliyeorodhesha "mahitaji ya mwanaume" kuwa wafanyiwe 1,2,3 nimemjibu kuwa kabla hawaja demand kufanyiwa hayo, waanze kuyafanya wao kwa wake zao, sio watake wao kufanyiwa mazuri wakati wao hawatufanyii sisi.

Kama hawatufanyii mazuri wasitegemee sisi tuwafanyie, sikuongelea "two way" kwenye morogoro, wala Kuchepuka.

Hata hivyo maisha ni kila mmoja anachagua kuishi aishivyo, ukichagua kumvumilia mume muovu, good for you.
 
Mtoa post umetema madini ya kueleweka. Tatizo kigezo namba 5 na namba 6 vinawashinda dada zetu maana wengi ni machi no... kila kitu wanajua.. alafu wabishi kweli...
 
Mtoa post umetema madini ya kueleweka. Tatizo kigezo namba 5 na namba 6 vinawashinda dada zetu maana wengi ni machi no... kila kitu wanajua.. alafu wabishi kweli...
toka hapa umeanza vizuri ukamalizia vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…