Well said.Habari wana MMU?
Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.
2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)
3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)
4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)
5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)
6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
nimekuelewa poa chaliii wanguBasi usihanye mifukoo komaa kiara.
Ikifika time unanidere kwa fasi ya dwasi. Ama nini!
Lait wanawake wote wangetekeleza haya hakuna ndoa,zngevunjika ovyoHabari wana MMU?
Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.
2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)
3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)
4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)
5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)
6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
Wacha we!!Lait wanawake wote wangetekeleza haya hakuna ndoa,zngevunjika ovyo
Washaur bhas na,wenzio wawe km ww na,cc wngne tupate kuoaWacha we!!
Hawawezi kuwa kama mimi maana wao sio mimi.Washaur bhas na,wenzio wawe km ww na,cc wngne tupate kuoa
Zote nisahihi tens naona zina back up ya vitabu vya dini ......makonde yenu hayo... Na Kyle kwingine ....enyi wake watiini/waheshimuni waume zenu.,,,,,waume wapendeni wake zenu..... !halo ndoa inatimilika!!! Viceversa Ni usaliti na michepuko...!Habari wana MMU?
Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.
2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)
3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)
4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)
5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)
6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
Sawa,tumeskia mwingine unaweka kumfanyia hayo yote na tamaa ikabaki pale pale..Habari wana MMU?

Wake wapo wengi tu,tena humu humu ndani! Omba mungu atakuonyesha!Hivi mie naweza pata Mke wa hivo kweli miaka hii?