Baadhi ya WanaCHADEMA waanza kuachiwa, yumo Pambalu wa BAVICHA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,239
Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu, hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi.

Bado tunaendelea kutafakari, bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi wao.

Maendeleo hayana chama.

FB_IMG_1627274646531.jpg
 
Ukiweza kwepa kulipa Kodi au tozo
Uzalendo wa wap wakati wabunge wanakula Kodi zetu bila kukatwa PAYE
HILI JESHI LETU LA POLISI NA SERIKALI yetu inatutia aibu sana duniani huko. Ina maana hawa watu hawajui maana ya GAIDI na treatment ya gaidi? Aibu sana. Nimekumbuka hadithi ya utotoni ya mtoto mchunga ng'ombe aliekuwa akisikia upweke porini, anapiga kelele "simba simba simba" watu wanatoka mbio na silaha zao kwenda kumuokoa yeye na ng'ombe zao, wakifika tu anacheka na anafurahi kuwa amewasumbua watu, alifanya hivyo mara kadhaa na mwisho watu wakajua ni mchezo, siku moja kavamiwa.kweli na simba na watu hawakwenda, yeye na ng'ombe wakauwawa na simba. Sasa hawa wanasema wamekamata Magaidi!, na mwisho wanawaachia bila kuwafanyia chochote!. Je hawa Magaidi waliopo mpakani Msumbiji wakiingia, dunia mtawaambia nini? Acheni ushamba na utoto mtatuletea madhara.
 
Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu , hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi .

Bado tunaendelea kutafakari , bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi wao .

Maendeleo hayana chama .
Tozo zimeshapita na kele zimeshaisha😅😅
 
Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu , hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi .

Bado tunaendelea kutafakari , bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi wao .

Maendeleo hayana chama .

Ná huyu gaidi hajakamatwa!?

Back
Top Bottom