Ms._wise_always
Member
- Mar 6, 2015
- 15
- 21
1.Ujenzi wa mradi mkubwa wa maji ziwa victoria.
2.Ujenz wa Shule za sekondari katika kila kata nchini.
3.Usimamizi wa ujenzi wa chuo kikuu Dodoma.
4.kuvunja mikataba ya city water na ule wa kikoloni wa matumizi ya maji kwa watanzania katika ziwa victoria.
5.Usimamizi wa ujenzi wa kitega uchumi wa Umoja wa Vijana wa CCM kwa manufaa ya chama.
6.Na mengine mengi ambayo Mh.Lowassa ameyafanya kwa manufaaa ya Taifa na Chama cha mapinduzi lakini kuna vitoto vinamtusi bila kujua Lowassa ni nani katika hii nchi yote kwa ajili ya njaaa ya matumbo yao Eeeeh Mola wasamehe wale wote wanaomtusi Mh.Edward Lowassa kwa kuwa hawafahamu wazalendo tunataka nini katika nchi yetu na rais wetu ajaye.
Mungu mbariki Lowassa atuongoze salama tuish kwa amani na upendo.