Baada ya yondani,mbuyu twite,ngassa na okwi who next?

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,196
Reaction score
486
Timu ya Yanga imefanikiwa kusajiri wachezaji muhimu kutoka simba na usajiri ukaleta malumbano lakini mwisho wa siku Yanga wakatoka kifua mbele na kuonekana wamefata taratibu zote na Simba wakabaki kubisha tu bila kuwa na vielelezo, kutokana na trend hiyo je unadhani ni mchezaji gani anayefuatia kusajiriwa na Yanga katika mazingira yanayo fanana na hayo nisaidieni wanajamvi.
 
Unajua kuwa Yanga imesajiri wachezaji 30, na hapa umewataja wachezaji wa 4 tu je hao wengine wote walitoka Simba? Kama sio hivyo inatakiwa ujue kuwa Yanga itasajiri mchezaji yoyote inayomtaka iwapo ataweza kukidhi kanuni za usajiri kutoka popote pale kulingana na uhitaji.
 
Umenielewa kweli mkuu au umekurupuka tu kujibu.
 
hata we muanzisha mada inabidi usajiliwe kwenye timu ya wananchi hata kama ni kwa mkopo uje ulishangilie timu ya wananchi
 
Timu ya Yanga imefanikiwa kusajiri wachezaji muhimu kutoka simba na usajiri ukaleta malumbano lakini mwisho wa siku Yanga wakatoka kifua mbele na kuonekana wamefata taratibu zote na Simba wakabaki kubisha tu bila kuwa na vielelezo, kutokana na trend hiyo je unadhani ni mchezaji gani anayefuatia kusajiriwa na Yanga katika mazingira yanayo fanana na hayo nisaidieni wanajamvi.

Labda nikusahihishe kidogo mkuu OKWI EMANUEL hakusajiliwa kutoka simba amesajiliwa kutoka sport club villa ya uganda.ambapo aliruhusiwa na fifa acheze kwa muda ili kulinda kiwango chake mara baada ya mgogoro kati ya okwi na eldo satohell ya tunisia aliko kuwa akichezea ktk club hiyo aliko uzwa kwa mkopo na timu ya simba...

Nadhan nimeeleweka ndugu mtoa mada kuhusu emanuel okwi.
 
Sasa simba waliweka pingamizi la nini? mimi nimetaja wachezaji ambao waliposajiriwa YANGA viongozi wa Simba wakatoa povu kuwa wana interest nao na kuweka pingamizi si OKWI tu kwa taarifa yako ata MBUYI TWITE alisajiriwa kutoka LUPOPO lakini Simba wakasema wakwao nadhani umenielewa.
 
Umenielewa kweli mkuu au umekurupuka tu kujibu.

Wewe ndio umekurupuka kuleta huu utumbo hapa, nimekueleza kuwa sio lazima kusajiri kutoka simba tu bali wanaweza kusajiri kutoka timu yoyote kwa kufuata utaratibu na bado ukaibuka mgogoro wakashinda pia kwa vile walifuata utaratibu, Okwi na Mbuyu Twite hawakusajiriwa kutoka simba na bado walishinda usajiri japo kulikuwa na pingamizi au utata na wakashinda. Mtu anayefanya utafiti iwe too generalized au bias kwa unalouliza.
 
Hii kitu inawatesa sana YANGA . Mpaka wailipe ndio watatulia!

simba-vs-yanga.jpg
 
Timu ya Yanga imefanikiwa kusajiri wachezaji muhimu kutoka simba na usajiri ukaleta malumbano lakini mwisho wa siku Yanga wakatoka kifua mbele na kuonekana wamefata taratibu zote na Simba wakabaki kubisha tu bila kuwa na vielelezo, kutokana na trend hiyo je unadhani ni mchezaji gani anayefuatia kusajiriwa na Yanga katika mazingira yanayo fanana na hayo nisaidieni wanajamvi.

Mbuyu Twite amecheza Simba msimu gani?
 
Back
Top Bottom