Nafikiri wangesema marufuku kuandaa chakula kwenye mikusanyiko, then waseme kwa watakaotaka kuandaa ndo waende wakaombe kibali.. Viongozi wanatakiwa kushauriana vizuri kabla awajatoa maagizo.. remember ishu ya kuabudu na kusali Yule mkuu wa wilaya alivyokurupuka..Pengine useme waandishi au watu wanaoleta taarifa ndo wanachanganya...kwa hili usiwatetee hata ukimuuliza mwanao wa darasa la pili atashangaa maamuzi ya viongozi wetu