Baada ya watu kuugua matumbo kwa chakula cha msibani sasa Serikali yapitisha amri ya watu kuomba kibali cha kukusanyika kwenye misiba

Bumbiza, Sasa kwanini kibali? Sheria ingekuwa kwamba wapewe taarifa hapo ningeungana na ww. Hivi unajua maana ha kibali. Maana yake msipopewa kibali hakuna kukusanyika?

Hiyo sheria yao tutashuhudia vituko kwenye misiba ya CHADEMA walahi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini kibali? Sheria ingekuwa kwamba wapewe taarifa hapo ningeungana na ww. Hivi unajua maana ha kibali. Maana yake msipopewa kibali hakuna kukusanyika?

Hiyo sheria yao tutashuhudia vituko kwenye misiba ya CHADEMA walahi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika tukio kama misiba hawawez kuacha kutoa kibali.lkn katika shughuli zingine ambazo sio za lazima kufanyika siku hiyo watazuia.Usalama wa raia na afya zao ni muhimu kuliko hizo harus ambazo ninyi mnaona ni za muhimu sana... Na zaidi sana wanachotaka kufanya ni monitoring na kuonyesha mkazo wanataka ukaombe kibali na sio kutoa taarifa.. Maana kutoa taarifa ni optional lkn kuomba kibali ni mandatory.nakuahakikishia hautasikia kuwa msiba au harus imezuiwa kufanyika katik hiyo wilaya. Sio katazo bali ni monitoring tu
 
Hahahah hivi ni matukio mangapi CHADEMA imefanyiwa? Unadhani watashindwa kuwanyima vibali vya msiba?
Katika tukio kama misiba hawawez kuacha kutoa kibali.lkn katika shughuli zingine ambazo sio za lazima kufanyika siku hiyo watazuia.Usalama wa raia na afya zao ni muhimu kuliko hizo harus ambazo ninyi mnaona ni za muhimu sana... Na zaidi sana wanachotaka kufanya ni monitoring na kuonyesha mkazo wanataka ukaombe kibali na sio kutoa taarifa.. Maana kutoa taarifa ni optional lkn kuomba kibali ni mandatory.nakuahakikishia hautasikia kuwa msiba au harus imezuiwa kufanyika katik hiyo wilaya. Sio katazo bali ni monitoring tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa Taarifa inaweza kuwa mandatory pia.

Nafikiri wangesema marufuku kuandaa chakula kwenye mikusanyiko, then waseme kwa watakaotaka kuandaa ndo waende wakaombe kibali.. Viongozi wanatakiwa kushauriana vizuri kabla awajatoa maagizo.. remember ishu ya kuabudu na kusali Yule mkuu wa wilaya alivyokurupuka..Pengine useme waandishi au watu wanaoleta taarifa ndo wanachanganya...kwa hili usiwatetee hata ukimuuliza mwanao wa darasa la pili atashangaa maamuzi ya viongozi wetu

ANGALIENI GPA ZA KWELI WAKATI WA KUAJIRI WAFANYAKAZI WA UMMA NA SIO SIASA

food poisoning unataka kuizuia kama kipindupindu?
 
. Ukiwakuta wamevaa suit na Tai wanazunguka kwenye viti vya ofisin unaweza fikiri ni smart mpaka kichwan Kumbe ni zeroo brain..
 
Wasomaji wa magazeti wa hapa nchini wengi wao ni wababaishaji tu. Hamna kitu kichwani.

Taarifa nimeisikia kwenye magazeti sasa nikasema itakuwa mkuu wa wilaya kakosea kumbe ni waandishi ndio hamna kitu vichwani mwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom