Baada ya Wakenya kushindwa kupambana na muziki wa Tanzania, sasa wanaomba kushirikishwa katika "Bongo Flavor"

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

MY TAKE: Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo Wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa Nigeria na Tanzania," Play Kenyan music", Sasa hivi Wakenya wanalalamika kwasababu wanamziki wa Tanzania hawawashirikishi wakenya katika nyimbo zao, hili limekaaje?, au ndio ule msemo wa kwamba "if you can't fight them, join them".

Tony254
dyfre
 
Sasa mziki wenyewe tu bongo fleva sasa walazimishe kushirikishwa Kwan siasa hii
 
Tatizo manyimbo yao mengi wanaimba kilugha, na kutokana na ukabila ulivyo kwao umeingia mpaka kwenye mishipa ya damu hivyo wanaona malugha yao ya kienyeji ni ya maana sana na nyimbo hizo ambazo hazina tofauti na ngoma za kienyeji kushindwa kuteka nyoyo za mashabiki nje ya jamii zao
 
Hao wakunya hata tukiwashirikisha watatuharibia mziki wetu, wapambane na genge yao wauze Sudan
no hate but only facts....wapambane
 
Hata nyimbo za gospel / injili bado, mahubiri ya kiimani mbalimbali za kuja toka Mashariki ya Kati, Tanzania bado inaongoza. Sijui ni kamara ya munyazi Mungu amewajalia waTanzania
Ushawahi kusikia ngoma ya Reuben Kigame ft Gloria -Huniachi
Au Sara K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…