Serikali ya mkoa ikiongozwa na kaimu mkuu wa mkoa Mrisho Gambo imezuia matumizi ya uwanja wa mashujaa moshi kwa ajili ya shughuli za kuuaga mwili wa mzee Ndesamburo. Sababu walizotoa.
Mahakama na shule viko jirani.
Hata hivyo uwanja huo umekuwa ukitumika kwa ajili ya mikutano ya injili na Mchungaji Mwakasege kuanzia jtatu hadi jpili hizo taasisi zikiwepo.
Wewe ni memba wa siku nyingi Jf, lakini comment yako hii ni kama umejiunga juzi mkuu. Hivi umeshindwa kujua kuwa baada ya Meck Sadick kujiuzulu Ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro unakaimiwa na Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha?Ndesamburo ni wa Moshi mambo ya Gambo yaetoka wapi tena
Gambo ndiye kaimu mkuu wa Mkoa, baada ya S.M. Sadick kujiuzulu.Huu ni unafiki Gambo anahusikaje Moshi?
Ana kaimu u RC wa KnjaroKwani gambo si yupo arusha?
Halafu mbona shule zimefunga?
mmmh kama ni kweli basi huyu kijana hana utu kabisa.... hata kifo analeta unazi?