Baada ya ukerewe tujiandae na Mafia ni swala la mda tu

Baada ya ukerewe tujiandae na Mafia ni swala la mda tu

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,677
Reaction score
3,755
Kwa waliofika najua wanajua nachozungumzia, ni swala la mda tu japo maafa yake hayatafikia watu mia mbili
A2B0946A-E914-4B64-AB17-560D96D0656D.jpeg
1459EA16-B5D5-4C8E-98E5-1A943A4084AA.jpeg
 
Mwendo kasi, nao inabidi waangalie mapema. Isije ikamwaga watu alafu waanze kutumbuana kisa linajaza kupita kiasi, hadi yana elemewa.
 
Nimeamini wewe ni mpambanaji safi sana
Kuna siku nlipanda mv potwe ***** nahodha alikosea direction tulikaa majini masaa 7 😛
Kuna siku nyingine nlipanda boti moja Jina nmesahau nahodha alingiaa kwenye kifungu cha mchanga tukanasaa tulikaaa hapo masaa kibao Bila msaada mpaka maji yalipojaa yenyewe boti ndy ikatokaa
Wamama na watoto ndani wanaliaa tu!
Kuna Tukio lingine mv jubini ***** nahodha msudan katikati ya maji pump ya kutoa maji ilifeli ndani ilikuwa mshikemshike jazz
Tulipona kimaajabu tu ila siku ile ilikuwa ntoleee.....

Ova
 
Nyamisati ukiona mizigo inayoingia kwenye boti kwanza hku abiria wakipanda badaye ni ajabu
Alafu nyamisati Kuna mbuu wa kusababisha mabusha unangatwa balaaa
Inshort usafiri hapo ni kafiri

Ova
 
Hii ya Mafia ni suala la muda tu..

Ukipanda humo kama una begi au sanduku au mzigp wowote ambao haupaswi kuguswa na maji lazima uupakie tena kwanza kwenye plastic bag ili usiloane maana dude linapenyesha maji balaa..kama umevaa suruali lazima uikunje bila ivyo ni kuloa chachapa..

Wakati linapiga mwendo macrew wanakuwa busy ma makopo kutoa maji na kuyamwaga baharini..

Hatari tupu.

Kutoka TUNATEKELEZA sasa hivi ni mwendo wa #TUNATEKETEZA
 
Na sijui kama kuna kiongozi yoyote wa juu ana Mazingira ya nyamisati hapo
Ila ngoja ikatapotokea balaa wataenda na media zote

Ova
 
Hko nmefanya sana uvuvi wa jongoo baharini
Visiwa chole,Juani,jibondo kote nmepiga kambi
Mshana maisha haya lazima upambane Sema ndy vikwazo tu tunakutana navyo

Ova
Safi sana aiseee vipi waburushi hukuwafaidi kweli?
 
Back
Top Bottom