AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,700
Habari zenu wakuu.
Naomba kujuzwa... Ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana. Ameenda UDOM special program ya ualimu wa Sekondari ktk masomo ya sayansi (phy/math). Kwa ngazi ya ordinary diploma. Kabla ya hapo alli apply vyuo baadhi vya afya kwenda kusomea maswala ya utabibu. Lakini amekosa huko.
Swali aliloniuliza nikashindwa kumjibu ni
"Je baada ya kwenda UDOM Nikamaliza kozi niliyochaguliwa.... Naweza nika apply tena vyuo vya afya? Na kwenda kusoma. Na kama nitakubaliwa vyuo vya afya baada ya kumaliza huko udom hiyo diploma. Huku kwenye afya (medical) nitaanza ngazi gani. Diploma au degree?
Ikiumbukwe kuwa ndugu yangu huyu ana credit. Ana daraja "C" kwa kila somo la sayansi pamoja na hesabu ktk matokeo yake ya NECTA mwaka jana.
Natanguliza shukrani zenu wakuu. Ndoto za huyu ndugu yangu ni udaktari. Pia ushauri wenu kwake ni muhimu.
KARIBUNI NYOTE KUCHANGIA.
Yours, Truly X.