Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,236
Tunaposema uchumi umeporomoka hatudanganyi , nchi imekuwa kama Msiba , hakuna burudani kabisa , na ukitaka kuona bendi ya live basi labda uende kanisani jumapili ili ukaangalie kwaya ya kanisa lako .
Hakuna cha Twanga Pepeta , FM Academia , Msondo ngoma wala Sikinde , bendi zote ziko chali miguu juu , hata kutumbuiza tu kwa kiingilio cha soda ya fanta passion imeshindikana , nchi imeanguka anguko kuu .
Nakulilia Tanzania .