establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,630
- 2,378
Slay Queens hawana kaziMachalii zangu wa Mango Garden enzi hizo oooooi oooooi wapi nduuuuuuru.
Slay Queens hawana kaziMachalii zangu wa Mango Garden enzi hizo oooooi oooooi wapi nduuuuuuru.
Choka mbovu sa hivi mzee baba.Slay Queens hawana kazi
Wakulima wa korosho wanakuchek tu wanasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiHakuna cha bure siku hizi, yale ya kutaja papaaa Ta kamugisha unapewa milioni yamekwisha, nenda shamba ukalime uone kama hutapata pesa, pia jiangalie wewe mwenyewe uchumi wako umeshuka?
Jana Twanga Pepeta wamepiga Magomeni na leo wanaamsha KurasiniUkweli ni kwamba muziki wa dansi ulianza kupotezwa kabla ya Magufuli ile awamu ya pili ya Kikwete, Muziki wa Bongo Fleva umeopoteza kabisa Muziki wa dansi.
Wewe angalia inteview kibao za wanamuziki huko Youtube utaona, ulianza muziki wa taarabu kisha wa dansi ukafuata.
Hii Coronavirus ndiyo imekuja kuumalizia kabisa muzki wa live band.
Labda hivi walivyo ruhus kufunguliwa kumbi za starehe na mikusanyiko labda majasiri wasio ogopa corona wataenda kuburudika na live band.
Pia wale wagonga copy za miziki ya watu kwa kutumia live band wameuwa soko la wenye miziki yao kuburudisha live, wale wazee wa karioke nao wanaumiza hizi band.
mboma yafa likwelikwe,zihi tondoErythrocyte hujaona nyomi ya watalii wewe? Wamefurika kama wote kuanzia Ngorongoro mpaka Mikumi acha Saadan huko Rubondo hakuna pa kukanyaga.
Mkuu umenifurahisha....'kufa kibudu'...!Tunaposema uchumi umeporomoka hatudanganyi , nchi imekuwa kama Msiba , hakuna burudani kabisa , na ukitaka kuona bendi ya live basi labda uende kanisani jumapili ili ukaangalie kwaya ya kanisa lako .
Hakuna cha Twanga Pepeta , FM Academia , Msondo ngoma wala Sikinde , bendi zote ziko chali miguu juu , hata kutumbuiza tu kwa kiingilio cha soda ya fanta passion imeshindikana , nchi imeanguka anguko kuu .
Nakulilia Tanzania .
Wenye pesa wastani ni kutafuna tuChoka mbovu sa hivi mzee baba.
Ni kwamba watu hawana uwezo wa kutoa kiingilio au bendi zimeahirisha kuburudisha?Tunaposema uchumi umeporomoka hatudanganyi , nchi imekuwa kama Msiba , hakuna burudani kabisa , na ukitaka kuona bendi ya live basi labda uende kanisani jumapili ili ukaangalie kwaya ya kanisa lako .
Hakuna cha Twanga Pepeta , FM Academia , Msondo ngoma wala Sikinde , bendi zote ziko chali miguu juu , hata kutumbuiza tu kwa kiingilio cha soda ya fanta passion imeshindikana , nchi imeanguka anguko kuu .
Nakulilia Tanzania .
Watakuambia wamejenga SGRTunaposema uchumi umeporomoka hatudanganyi , nchi imekuwa kama Msiba , hakuna burudani kabisa , na ukitaka kuona bendi ya live basi labda uende kanisani jumapili ili ukaangalie kwaya ya kanisa lako .
Hakuna cha Twanga Pepeta , FM Academia , Msondo ngoma wala Sikinde , bendi zote ziko chali miguu juu , hata kutumbuiza tu kwa kiingilio cha soda ya fanta passion imeshindikana , nchi imeanguka anguko kuu .
Nakulilia Tanzania .
Niko hapa mkomazi. Magari ya watalii yanapishana usiku kama ambulance kule UnunioErythrocyte hujaona nyomi ya watalii wewe? Wamefurika kama wote kuanzia Ngorongoro mpaka Mikumi acha Saadan huko Rubondo hakuna pa kukanyaga.
Nadhani issue ni kiingilio. Zama zimebadirika.Ni kwamba watu hawana uwezo wa kutoa kiingilio au bendi zimeahirisha kuburudisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhambi zimepungua?? Unaishi wapi?Afadhali dhambi zimepungua.Mambo yote yatapita lakini neno lake litadumu. Kwaya zinazidi kudunda mziki wa dansi unazidi kufa. Ipo siku na Bongo fleva itafuata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Bongo flava sio Dansi sio nini zote ziko hoi. BONGO MOVIE YENYEEE IKO MAZIKONITunaposema uchumi umeporomoka hatudanganyi , nchi imekuwa kama Msiba , hakuna burudani kabisa , na ukitaka kuona bendi ya live basi labda uende kanisani jumapili ili ukaangalie kwaya ya kanisa lako .
Hakuna cha Twanga Pepeta , FM Academia , Msondo ngoma wala Sikinde , bendi zote ziko chali miguu juu , hata kutumbuiza tu kwa kiingilio cha soda ya fanta passion imeshindikana , nchi imeanguka anguko kuu .
Nakulilia Tanzania .
Siku hizi zinachomokea Youtube chanel ambako hawapati kitu zaidi ya "likes" tuHata hizo bongo fleva hazipo live mkuu , labda zina nafuu kwa sababu ya mitandao
Mwanangu imenikumbusha band yangu pendwa Fm Academia a.k.a Wazee wa Ngwasuma a.k.a Wazee wa Pamba a.k.a Wazee wa Mujini chini ya Nyoshi El-Saadat sauti ya Simba...hapa majamaa walitengeneza ngoma kali kama Heshima kwa wanawake,mgeni,Jasmini,Binadamu,Prison,Anna,Acha tamaa na mwili wangu
Hawa majamaa walijua kupika muziki mzuri vilivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app