BAADA YA UCHAGUZI, GREAT THINKERS WAMEPOTEA JAMII FORUM

drima

Member
Jan 1, 2016
7
3
Hbr za asubuhi wadau

Kwa kweli binafsi nilikuwa nafurahishwa uchambuzi yakinifu uliokuwa unafanywa huku na wadau mbalimbali wkt wa uchaguzi mkuu.

Kila saa nilikuwa nafungua jamii forum kusoma na kuchangia mada

Baada ya uchaguzi wale creative thinkers wamepotea jamii forum imekuwa ya kawaida sana.
 
Tatizo ni mfumo wa Jf ...
cc: wana ukawa
 
Ungewataja kwa majina ili ijulikane great thinkers ni nani kwa tafsiri yako maanake wengine wamebadilisha majina tu lakini wapo wanajulikana.

BTW:Kuna IDs za msimu huwa zinaibuka kwa kazi maalum tu na kisha hupotea na ukitaka ku-prove hili tafuta mada zinazohusu utetezi kwenye Sakata la IPTL na ESCROW.

Hawa jamaa huwa wamejipanga kweli kweli nawakumbuka wafuatao @shadow recruit @RECHO Sawe @kuruta kwenye nyuzi za kumponda Kafulila Sakata la ESCROW.
 
Mbona unazungumzia wa upande mmoja. Wataje na wale wa kubadilishia gia angani kwa kumsafisha fisadi wa kimataifa.
 
Sio mara ya kwanza na wala wewe sio wa kwanza kushutumu kuwa JF imepoteza great thinking!!
Kuna kipindi hadi wakaanza kwenda ule upande wa pili lakini ....HOMING FOR GREAT THINKING REMAIN THE SAME!!
 
Hbr za asubuhi wadau

Kwa kweli binafsi nilikuwa nafurahishwa uchambuzi yakinifu uliokuwa unafanywa huku na wadau mbalimbali wkt wa uchaguzi mkuu.

Kila saa nilikuwa nafungua jamii forum kusoma na kuchangia mada

Baada ya uchaguzi wale creative thinkers wamepotea jamii forum imekuwa ya kawaida sana.
Dah! Nasikia payrolls zimesimama kwa muda baada ya majipu sugu kutumbuliwa. Nimesikia tu.
 
Back
Top Bottom