Baada ya TLS,vyama vya wakulima,wafanyakazi-TUCTA,CWT na wengine,amkeni,kumekucha!!

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Sasa ni wazi kumepambazuka

TLS wameonyesha njia

Natoa changamoto kwa vyama vya wakulima na wafanyakazi na wataalamu wengine,hima hima

Wekeni mabadiliko kwenye vyama vyenu.

Viwe vya wakulima wa kahawa,pamba,pareto,tumbaku,TUCTA,chama cha walimu,mahoteli na viwanda,chai,korosho,katani


Amkeni,kumekucha,tupeni mbali mablanketi msije kuachwa katika SAA muhimu katika taifa
 
Walimu hapa mhhhh na ccm wataamka kuandaa vibaraka wao kila kona
Wamewapandikiza kule kwenye vyama vya ushirika kama Nyanza ya mwanza,kagera cooperative union,Kilimanjaro cooperative union,TUCTA na wengine na vyote vikafa ikiwamo ushirika wa tumbaku tabora.

Sasa nao waamke
 
Sasa ni wazi kumepambazuka

TLS wameonyesha njia

Natoa changamoto kwa vyama vya wakulima na wafanyakazi na wataalamu wengine,hima hima

Wekeni mabadiliko kwenye vyama vyenu.

Viwe vya wakulima wa kahawa,pamba,pareto,tumbaku,TUCTA,chama cha walimu,mahoteli na viwanda,chai,korosho,katani


Amkeni,kumekucha,tupeni mbali mablanketi msije kuachwa katika SAA muhimu katika taifa
Aaamke wasilale lale kama wale
 
CWT hawajifunzi kutokana na yaliyopita. They always think kwamba coz Rais, PM, first lady, na baadhi ya mawaziri walikuwa walimu kwamba watawajali walimu. Poor thinking capacity. They have no new reasonable strategies to overcome their problems.
Waalimu wabadilike....waalimu ni jeshi kubwa
 
Usiifananishe TLS na vitu vya kijinga. TLS ni chama cha watu waliyoelimika ingawa wapo wajinga wachache kama Wasonga na Mpinzile. Hivyo vyama vingine kama CWT vimejaa Mabashite.
Hahahahaaaaaaa. CWT wakifungua domo serikali wanakaibua kale ka chama kao (spare tail) ili kuwanyamazisha. Then wanaibua hoja CWT warudi kufanya registration kwa walimu ili upya. Chezea serikali wewe
 
Umeongea jambo la msingi sana.
Ni kazi ya muhimu kupeleka huu moto kwa wataalamu wengine,na vyama vya wakulima.

Hasa wakulima....ihakikishwe uchaguzi ndani ya nyanza cooperative union iliyofilisiwa na ccm,Kagera cooperative iliyofilisiwa na ccm,ushirika wa tumbaku,uwe uchaguzi motomoto utakaoacha athari kifikra,tusiviache vyama hivi vifanye uchaguzi kimazoea na kirahisi rahisi

Wanachama waambiwe ukweli kuhusu kufilisika kwa vyama hivi katika kila mkutano wa kisiasa
 
vyama vya wafanyakazi vina nguvu sana juu ya serikali sema kwa nchi vyama hivi vingi ni corrupt
Duniani vyama vya wafanyakzi ndivyo vilivyo chochea mageuzi mbalimbali
 
Mleta mada njoo hapa nikupe angalau vocha ya jero aisee...Wasomi wakilala na Taifa lazma litalala na kuangamia.
 
Back
Top Bottom