Kwa" machinga "hapakua na njia nyingine,TISS.
Mama anatakiwa afanyekazi na anaowaamini kwani Sukumagang walikuwa kotekote so wakishaondoka hao basi kwani watakuwa chini ya uangalizi.
Hata Sirro kupewa Ubalozi ni sehemu ya uangalizi.
Mwendazake alisisi chama ndani ya chama kwani lazima waondolewe ili kumfanya Kiongozi Mku awe huru ktk utendaji wake.
Mama anafanyia Kazi ktk mazingira magumu hata machinga kuondolewa alishauriwa vibaya ili aendelee kuchukiwa kwani chuki kwake ni kubwa.
Na tukumbuke mama ameridhi madeni makubwa ambayo anayoyalipa ndo maana mambo mengine hayaendi lakini wengine wanaojua hili hawaliongelei
Wangeendelea kuachwa wajiamlie pakuweka biashara zao tungekua nchi ya ovyo kabisa.