Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Habari wana jukwaa.Husika kichwa cha habari hapo juu.
Kule viwanda vya tumbaku wanokesha,na kule hospital nao ni walinzi?Shughuli ya usiku kwan unalinda kampuni gani mkuu.Maana wenye shughuli usiku wengi walinzi
Hawa ndiyo zitto anawaita washamba na malimbukeni waliokabidhiwa nchiHabari wana jukwaa.Husika kichwa cha habari hapo juu.![]()
Shemeji yako amefika jana from NYC.So kulikuwa na mechi la kukata na shokaShughuli ya usiku kwan unalinda kampuni gani mkuu.Maana wenye shughuli usiku wengi walinzi
Ameacha akili kitandani msamehe tuKule viwanda vya tumbaku wanokesha,na kule hospital nao ni walinzi?
Inahusiana vipi na hii silidiiiUmaskini mbaya sana, hasa umaskini wa akili..!!
Karibu chai safi kabisa mkuu.Kizuri kula na nduguyoHawa ndiyo zitto anawaita washamba na malimbukeni waliokabidhiwa nchi
Wami koani mnasumbiwa.Hii inaitwa draftiUna umri gani? Mpaka unatengewa chai kwenye sahani ya watoto wa chekechea!
Hayo makorokocho unayokula angalia usije kupata puto tumboni kama Sethi.
Asante mkuu naona usiku wa leo umemfyatua vizuri sana huyo mwenzako mpaka amekuandalia chai nzitoKaribu chai safi kabisa mkuu.Kizuri kula na nduguyo
Karibu chai safi kabisa mkuu.Kizuri kula na nduguyo
humu ndani watu mna majibu .ivi mnakua mmeshayanda au ,,ulivomjibu huyu jamaa uko alipo atakua hana hamu..Una umri gani? Mpaka unatengewa chai kwenye sahani ya watoto wa chekechea!
Hayo makorokocho unayokula angalia usije kupata puto tumboni kama Sethi.
Drafti au uchafu huo!Wami koani mnasumbiwa.Hii inaitwa drafti
Wapigie ndugu zako waliopo dar watakwambia kuhusu draftDrafti au uchafu huo!
Tatzo hakai kwa muda mrefuMwambie shemeji Aanze biashara ya kutuuzia vitafunwa, tutamchangia mana maisha ni kujiajiri saiv
Jifunze kiswahili kwanza.Wami koani mnasumbiwa.Hii inaitwa drafti