Hapana baada ya samia kumaliza ni muislam coz anamalizia awamu ya mkristo!!
Hii ni awamu ya mkristo inayomaliziwa!!
Mi NADHANI hivyo,
Maoni huru Lakini haya! Ya mlipa kodi asiekwepa!
Ukiristo wake unaongezaje uchumi wa nchi?
Singida shida ni KKKT na inatakiwa roman
Ndio.
Huu mfumo ni nzuri katika kuwaweka watanzania pamoja kama watani huku tukiepukana na ajali kubwakubwa ❤️🇹🇿
Yaani Nasema Acha Tusogeze Comments Ila Neno Batter, Ama Sijui AkiliHuyo hana betri kwenye moyo mzee
Ni Rais hadi 2030, you can bank that
Haijaandikwa Popote Ila Ajaye Atatoka ProtestantHIVI ISHU YA RAISI MKRISTO KUA MROMA NI YA KWELI
Singida ni KKKT (Protocol observation)Wanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code
Baada ya Nyererea akaja Mwinyi, baada ya mwinyi akaja Mkapa, baada ya mkapa akaja Kikwete, baada ya kikwete akaja magufuli na baada ya kifo cha Magufuli akaja Samia hapa baada ya Samia ni mkristo na hakuna short cut kama unautaka itabidi asubilie ajaye mkristo amalize
Poleni sana watu wa Tanga hii match mmeshindwa mapema labda Wanasingida inaweza ikawa upande wao kipindi hili
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Zamu ya wasio amini Mungu/ Mungu ni lini?
Zamu ya Marastafari ni lini?
Zamu ya Waamini Mizimu na dini za asili ni lini?
Mtu awe Raisi wa nchi kwa sababu ya uwezo na sio kisa ni dini Fulani au itikadi Fulani.
Kwa sababu kwanza hakuna uthibitisho kama huyo Mungu/ mungu/Mlungu/miungu kuwepo au yupo? au kujilisha upepo tu![]()
Meza Inapinduka Subiri UoneSingida ni KKKT (Protocol observation)
Siyo kila meza inapinduliwa,meza zingine miguu yake imejichimbia kwa chini sana.Meza Inapinduka Subiri Uone
Ndio ujue hii thread ni fallacy tu haina ukweli hata kidogo.Wakatoliki wanahiji Vatican Wasunni Makka. Haya makundi mengine ya kijamii uliyoyataja wanahiji wapi ambapo huweza kukaa na kupanga mikakati na pengine kupatiwa mafungu. Mfano Marasta labda atasaidiwa misokoto ya ndumu kutoka kwa wajakoya.
Ndio ujue hii thread ni fallacy tu haina ukweli hata kidogo.
Mtu awe Raisi kwa vigezo tulivyoweka na si vinginevyo.
Kama alivyokuwa yule dhalim wa chatoAwe Mkristo au Muislamu ili mradi tu asiwe tena na matatizo ya akili
Awamu ya MKRISTO ilikuwa ya 5 hii ni ya SITA awamu ijayo ya Saba ni ya MKRISTO periodHapana baada ya samia kumaliza ni muislam coz anamalizia awamu ya mkristo!!
Hii ni awamu ya mkristo inayomaliziwa!!
Mi NADHANI hivyo,
Maoni huru Lakini haya! Ya mlipa kodi asiekwepa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Awe Mkristo au Muislamu ili mradi tu asiwe tena na matatizo ya akili