johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Nadhani hili ndio jukumu la kwanza la waziri mpya wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba kuhakikisha marehemu wote wanaokufa kwa Corona wanapata haki ya msingi ya kuzikwa kwa heshima.
Binafsi nilikerwa sana kwa namna rafiki na mwanasheria wangu DC Mmanda alivyozikwa " kienyeji" bila kufuata mila wala desturi ya kabila na jamii yake.
Karipio la Rais Magufuli kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara limenipa faraja kubwa na nipo tayari kuchangia endapo familia yake itaamua Wakili Mmanda akazikwe kwa upya nyumbani kwso Rombo.
Mungu mbariki Rais Magufuli!
Dominica njema.
Magufuli anaakili sana sana kupima mapapai na mbuzi .a metisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tisha ile mbaya, hadi mafenesi yamepimwa na oli chafuMagufuli anaakili sana sana kupima mapapai na mbuzi .a metisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo, Ikulu ndogo ya Chato!Hilo karipio kalitoa lini na wapi johnthebaptist!?
Kuna plastic bags wangemfunga hata ,hata mimi sikupendezwa na uzikaji ule hata jeneza lilikuwa la bei rahisi halina hadhiWewe usipomuona mzee Mgaya huwa unachanganya mambo sana. Je Advocate Mmanda alifariki na Covid-19? Au sababu ya hofu ndio maana Rc wa mtwara akakurupuka kutomsafirisha marehemu? Na sababu ya haya matatizo ikabidi wachukue tahadhali ya kuvaa gowns na masks wakati wa mazishi?
Ni kweli kila mtu hakufurahi kabisa ila kichwa cha habari kinahusu mazishi ya kicorona virus kiasi kwamba mtu anaweza akadhani marehemu alifariki kwa Corona virus.Kuna plastic bags wangemfunga hata ,hata mimi sikupendezwa na uzikaji ule hata jeneza lilikuwa la bei rahisi halina hadhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimdhalilisha sana!Kuna plastic bags wangemfunga hata ,hata mimi sikupendezwa na uzikaji ule hata jeneza lilikuwa la bei rahisi halina hadhi
Sent using Jamii Forums mobile app