The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
wanajf especially hapa mmu mshaurini raki yangu hapa maana anawaza afanyeje baada ya kupatwa na hamu ya mgegedo akafanikiwa kumpata binti ambae hawakua na mahusiano na hatimaye amepata mimba but wote wawili hawategemei kuwa mume na mke so inamuumiza akili afanyaje kwasababu binti anadai ana mtu wake wa wazamani na anataka warudiane kwakua alishazaa naye watoto wawili. Angalizo: huyu rafki yangu anaonekana hana uhakika japo anasema waligegedana bila condom so anaomba ushauri afanyeje kupata ukweli kuhusu mimba anayo ambiwa ni yake.