Baada ya Ngwair ni One incredible na Nick mbish.

Hakuna msanii anaweza kuwashinda hawa jamaa kwa michano na free style ni wakali sana hata kwa kuwasikiliza huwezi kujutia bahat yao mbaya watanzania hatuupi mziki wa hip hop kiapaumbele one mzee vina mwanzo kati mwisho.

Kidogo anaweza kusogea godzilla nae masifa yamempoteza mwanzo alikuwa anakuja vizur sana hapa hamna cha mwamba wa kaskazini wala ngosha.
Kuna mtoto anaitwa Gaza, unamjua?
 
Hapana mkuu simjui ana kazi zake youtube nimcheki?
Hana kazi popote lkn ukimuuliza Nikki au Incredible wanamjua vzur sana. Nikki mwenyewe ameshakiri kwa kinywa chake kwamba Gaza ni moto. Sjui anapatkana wap ila jarbu kumtafta ebu
 
Back
Top Bottom