Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,487
- 2,344
Baada ya nguvu za Lowasa kumalizwa kwasasa balance ya power kwa siasa za bongo iko kati ya Magufuli na familia ya Kikwete (Membe yuko humo ndani).
Kwa kuwa nchi nyingi za kiafrika hazina desturi ya kufuata sheria na utaratibu tuliojiwekea hivyo uwepo wa hawa magiant mawili katika nchi yetu ndio unaoamua uelekeo wa siasa za nchi nchi yetu.
Upande mmoja ukipungua nguvu utasababisha upande mwingine kututawala kwa miaka mingi sana ijayo