Baada ya Ndege: Sasa Serikali Ijielekeze Huku

Baada ya Ndege: Sasa Serikali Ijielekeze Huku

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,822
Hisia katika ununuzi wa ndege zimetofautiana. Binafsi niko neutral ni jambo jema kalifanya na la kizalendo (Kwa mjibu wa vipaumbele vya serikali iliyopo). Hii binafsi niipongeze serikali.
Sasa kilio changu Tanzania kitabaki kuwa mfumo wetu wa elimu unahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kuimalisha miundo mbinu na ubora wa elimu.
Serikali kama imeweza kununua ndege 8 inashindwaje kujenga shule za hadhi kubwa. Kiukweli hizi shule tunaziita za kata za sekondari ni kama vituo vya kulelea vijana (Im sorry for that). Mazingira ya hovyo, hakuna vitabu, hakuna maabara, hakuna vifaa vya maabara, hakuna walimu wa kutosha kwa maana ya ubora n.k. Wito wangu serikali iipe kipaumbele hii sekta. Karne ya 21 hii watoto wanakaa chini kwenye matofali, Hii haikubaliki. Wadau wa elimu hii mliangalie kwa jicho la Tatu.
Na sign OFF.
 
Raisi not rahisi
Serikali itoe kipaumbele not iipe kipaumbele.

Ahsante,nafikiri hoja yako imefika mahali husika
 
Ni wachache sana watakuelewa mana wengi ni fuata upepo. Nchi hii bila kuimarisha mfumo wa elimu hatuta piga hatua kamwe.
 
Back
Top Bottom