wanaishi ulaya??visima mbona vinajengwa na tumeshuhudia wenyewe?? nyie watu mnaishi ulaya afu mnajidai mnajua habari za tz...
Wanabodi.
Baada ya mpango na mikakati ya Kada wa CCM Mustafa Sabodo, ya kujenga visima ambavyo vitasimamiwa na Chadema kuwa hadithi baada ya kupewa milioni 200 na hakuna dalili zozote za ujenzi wa visima.
Mustafa Sabodo kaja na mpango mpya wa kujenga visima , Manispaa ya Ilala imemkabidhi kibali cha ujenzi wa maegesho ya magari Dar es Salaam.
Jengo hilo ambalo litakuwa la ghorofa 10 litagharimu zaidi ya Sh5 bilioni, huku likitarajiwa kuchukuwa magari 180 kwa wakati mmoja, baada ya kukamilika ujenzi huo na kuanza kufanya kazi fedha zitakazopatikana zitatumika kujenga visima vya maji vijijini.
Habari zilipatikana kutoka kwa familia ya Mustafa Sabodo, ameamua kutumia mpango huo baada ya vyama vya siasa kutafuna pesa za visima ambavyo Sabodo alitoa.
Kiongozi naona kama umeungaunga kidogo hii story. Mzee Sabodo anajenga maegesho Ilala kwa gharama ya shs 5bn. Manispaa ya Ilala inatarajia kutumia 'parking fee' (gharama za kuegesha gari) ili kujenga visima vya maji katika manispaa yao ya Ilala. Hivyo visima vitajengwa kutokana na parking fee na sio hizo shs 5bn.
Wanabodi.
Baada ya mpango na mikakati ya Kada wa CCM Mustafa Sabodo, ya kujenga visima ambavyo vitasimamiwa na Chadema kuwa hadithi baada ya kupewa milioni 200 na hakuna dalili zozote za ujenzi wa visima.
Mustafa Sabodo kaja na mpango mpya wa kujenga visima , Manispaa ya Ilala imemkabidhi kibali cha ujenzi wa maegesho ya magari Dar es Salaam.
Jengo hilo ambalo litakuwa la ghorofa 10 litagharimu zaidi ya Sh5 bilioni, huku likitarajiwa kuchukuwa magari 180 kwa wakati mmoja, baada ya kukamilika ujenzi huo na kuanza kufanya kazi fedha zitakazopatikana zitatumika kujenga visima vya maji vijijini.
Habari zilipatikana kutoka kwa familia ya Mustafa Sabodo, ameamua kutumia mpango huo baada ya vyama vya siasa kutafuna pesa za visima ambavyo Sabodo alitoa.
Visima vimejengwa wapi ebu tuambie sehemu ambazo vimejengwa hivyo visima...Mzee Sabodo, asingelalamika.
mkuu jiheshimu basi ni kweli sabodo anataka kujenga kitega uchumi but alisema asilimia 10% ya mapato kwenye jengo hilo yatatumika kujengea visima, chadema wameingiaje hapo mkuu!?Wanabodi.
Baada ya mpango na mikakati ya Kada wa CCM Mustafa Sabodo, ya kujenga visima ambavyo vitasimamiwa na Chadema kuwa hadithi baada ya kupewa milioni 200 na hakuna dalili zozote za ujenzi wa visima.
Mustafa Sabodo kaja na mpango mpya wa kujenga visima , Manispaa ya Ilala imemkabidhi kibali cha ujenzi wa maegesho ya magari Dar es Salaam.
Jengo hilo ambalo litakuwa la ghorofa 10 litagharimu zaidi ya Sh5 bilioni, huku likitarajiwa kuchukuwa magari 180 kwa wakati mmoja, baada ya kukamilika ujenzi huo na kuanza kufanya kazi fedha zitakazopatikana zitatumika kujenga visima vya maji vijijini.
Habari zilipatikana kutoka kwa familia ya Mustafa Sabodo, ameamua kutumia mpango huo baada ya vyama vya siasa kutafuna pesa za visima ambavyo Sabodo alitoa.
Sasa Tanzania hii nani sio muongo na mtafunaji wa mali za wengine?
Mzee Sabodo ni mtu mmoja makini sana...hujue kaishawapa Chadema zaidi ya Milioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa visima vya maji, Sabodo katoa pesa hizo baada ya uchaguzi wa Igunga, lakini mpaka leo hakuna hata kisima kimoja kilichojengwa na Chadema.
Incredible, Riz.
Your inept government has failed to deliver the obvious, now your sick mind tells you to excite on Sabodo's (i.e. individual) endeavors.
Get it Riz, 50+ yrs ccm has failed in everthing by truest sense of the word. CDM hadly has 0.01 of you yet you come-up with spinless propaganda. Facts you won't turn the tide now